Special Thread, COPA America 2015

Wacheza wengi wenye umri kama wake au hata wa chini yake wanapokuwa uwanjani hawafanyi huo utoto aufanyao yeye. Refa kweli hakumudu mchezo lakini asingefanya uhuni na fujo zake Jumamosi aingeisaidia timu yake katika kuendelea kwenye ngwe inayofuata ya COPA America.

Ni utoto tu akikua ataacha ila alivyoongea na media kuhusu ile red yake mhh!! Kampondea refa .....
 

Neymar yuko immature sana.

Sijui huwa anajiona yeye ni wa maana sana au vipi....

Hapa nilipo sidhani kama Brasil wataweza kufika mbali.
 
Brazil's Neymar will miss rest of Copa América with four-match ban • Barcelona forward was sent off against Colombia on Wednesday
• Brazil could still appeal against decision

Barcelona forward was sent off against Colombia on Wednesday
• Brazil could still appeal against decision


Neymar, centre, was sent off for kicking Colombia's Pablo Armero after the final whistle. Photograph: Miguel

The Brazil forward Neymar has been banned for the rest of the Copa América, depriving the tournament of one of its biggest stars.
A disciplinary panel of the South American confederation ruled on Friday that he must sit out four games for violent conduct in a match against Colombia, when he was sent off. Brazil have the right to appeal. He was also fined $10,000.
The Barcelona forward picked up a red card after kicking Colombia's Pablo Armero after the final whistle in Colombia's 1-0 victory over Brazil on Wednesday. He also appeared to headbutt another player.
Brazil play their final group game on Sunday against Venezuela. If they advance to the knockout rounds, they could play three more.

Neymar yuko immature sana.

Sijui huwa anajiona yeye ni wa maana sana au vipi....

Hapa nilipo sidhani kama Brasil wataweza kufika mbali.

 
Mlimbwende anahamasisha kumtaza unaweza hata ukasahau kama kibendera kimeanguka...

Naona na leo katabiri Chile anashinda...

Acha kabisa, michuano yote mikubwa ingekuwa inafanyika tu South America. Wanautendea wema 'uzalendo', yaani wema naokutana nao huko kwenye mitandao ni hatari, siwezi tu ku-share wote. Waendelee kubarikiwa
 
America Kusini mara nyingi wakicheza hususan ktk makundi mwenyeji huwa anashinda,ila kwa sasa ili copa america bado,sema naweza kuwapa Chile nasubiri Paraguay na Uruguay kisha hata Argentina nao ndipo nitakuja na utabiri wangu.
 
Neymar mjinga sana,mimi ni fun wake,ila hii issue ya utovu wa nidhamu kanisikitisha sana
 
kama ilivyoada messsi the king ni siku yake kufanya makeke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…