Mechi ya leo imekuwa nzuri...
Uruguay hawakucheza sana vizuri mechi yao ya mwanzo sijui kesho mbele ya Argentina watakuaje!!!
Bolivia walishinda 3-2
Aisee!!! Kwanza nipe pole wangu jana yaliyonikuta acha tu, nipo kwa likizo ktk mji mmojawapo Tz wenye baridi sana basi nilisikia baridi sana wakati wa Half time nikasema ngoja nipate heat kidogo katika heater yangu ya natural eebana nimekuja stuka ni saa 5:30 am 😀😀😛
Baridi ukiweka na usingizi plus plus kwa kulala masaa machache ili kuangalia Copa America na natural heater 😛oa, kupitiliza ni kama KAWA, pole sana.
Ulitegesha saa everlenk, kwenye kombe la dunia la warembo kuna game ya USA na Nigeria naona hii inanivutia zaidi kuliko Copa America.
So far it's been a one sided match...
Argentina wametengeneza nafasi kadhaa bila kupata goli...
Tena makavu kabisa mechi ya USA na Nigeria ndiyo inaanza.
Sawa jamaa wanaweka picha chache sana, sijui ni kubana matumizi.
Hii kitu inakera sana.... Hapa Uruguay wanaweza piga counter attack moja na watu wakacheka.
Naichungulia kiaina, usisahau kwenda basi lile jukwaa kutupia mapicha picha.
Hili kundi limekaa kimitego kweli...
Na baada ya Paraguay kushinda mechi ya Jamaica ndio limekuwa complicated zaidi...