Mdau hata mm nina mpango nipe habar je umefikia wap kaka?Mimi Nina mipango ya kujiunga na kozi hiyo ya clinical officer ningependa piah kwa wenzang walio na mpango huo tupeane ushauri, kuhusu kozi yenyewe.
Kila la heri ila ukumbuke kiwango cha chini cha ufaulu wa kusomea digrii ya udaktari ni Physics D, Chemistry C na Biology C!! Kwa A level C inaanzia marks 60 hadi 69 na D inaanzia marks 50 hadi 59! Mwulize mwanafunzi aliyeko A level akueleze wepesi au ugumu wa kufikisha marks hizo!! Wengi waliokuwa na one au two zao za O level huishia D mbili na S moja kisha hurudi kugombania u CO baada ya kupoteza miaka 2 ya A level!Dah, mimi sitaki shortcut mkuu ngja tu niende Advance kwanza.
Duh, sawa Asante nimekusoma but tutapambana hivyohivyo.Kila la heri ila ukumbuke kiwango cha chini cha ufaulu wa kusomea digrii ya udaktari ni Physics D, Chemistry C na Biology C!! Kwa A level C inaanzia marks 60 hadi 69 na D inaanzia marks 50 hadi 59! Mwulize mwanafunzi aliyeko A level akueleze wepesi au ugumu wa kufikisha marks hizo!! Wengi waliokuwa na one au two zao za O level huishia D mbili na S moja kisha hurudi kugombania u CO baada ya kupoteza miaka 2 ya A level!
Sikutishi ila nakupa hali halisi ili ujipange vizuri na uamue kusuka au kunyoa!!
Ni online au??me nipo kwenye application sasa, vyuo vya private mwisho wa kuapply ni tar 10 mwez huu wa nne
Alafu chuo wanaruhusu wenye chini ya 18age maana bado sijafika huko?? Nataka nikakue kwanzaaKila la heri ila ukumbuke kiwango cha chini cha ufaulu wa kusomea digrii ya udaktari ni Physics D, Chemistry C na Biology C!! Kwa A level C inaanzia marks 60 hadi 69 na D inaanzia marks 50 hadi 59! Mwulize mwanafunzi aliyeko A level akueleze wepesi au ugumu wa kufikisha marks hizo!! Wengi waliokuwa na one au two zao za O level huishia D mbili na S moja kisha hurudi kugombania u CO baada ya kupoteza miaka 2 ya A level!
Sikutishi ila nakupa hali halisi ili ujipange vizuri na uamue kusuka au kunyoa!!
Ukiamua kupambana inawezekana! Sahau ufaulu wa O-level! Kuna wenye three za O-level huibuka na one za A-level na wenye one za O-level huambulia three na wengine four za A-level! Kupambana ndo mpango mzima na usikivu na nidhamu na heshima kwa waalimu wako!Duh, sawa Asante nimekusoma but tutapambana hivyohivyo.
Hakuna limit ya umri chuo! Ukiwa mdogo ndio vizuri zaidi. Ila endelea kujiona kuwa ni mdogo hata ukiingia chuo!!! Usije ukajiona mkubwa baada ya kuingia chuo halafu ukaanza kujifunza mambo hudaiwa kuwa ni ya wakubwa lakini ukweli ni kuwa ni ya kishetani!!!!Alafu chuo wanaruhusu wenye chini ya 18age maana bado sijafika huko?? Nataka nikakue kwanzaa
Hakuna limit ya umri chuo! Ukiwa mdogo ndio vizuri zaidi. Ila endelea kujiona kuwa ni mdogo hata ukiingia chuo!!! Usije ukajiona mkubwa baada ya kuingia chuo halafu ukaanza kujifunza mambo ambayo hudaiwa kuwa ni ya wakubwa lakini ukweli ni kuwa ni ya kishetani!!!!Alafu chuo wanaruhusu wenye chini ya 18age maana bado sijafika huko?? Nataka nikakue kwanzaa