Match Day 4
Ethiopia vs Zanzibar
Timu zimeshaingia uwanjani, zimekaguliwa na sasa makapteni wanarusha sarafu.
Mechi hii inachezwa katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.
Hali ya uwanja ni nzuri, ikichagizwa na hali ya hewa ya kibaridi kwa mbali.
Wakati wowote kipute hiki kitaanza...