Hahahahahaha.
Mkuu ya Rage ni mavi ya kale ambayosasa hayanuki,kuna jingine pale msimbazi la usajiri wa Yaw Berko hujalipata hilo?
Chezeya msomali weye eeeh!
Hahahahahaha.
Mkuu ya Rage ni mavi ya kale ambayosasa hayanuki,kuna jingine pale msimbazi la usajiri wa Yaw Berko hujalipata hilo?
Chezeya msomali weye eeeh!
Mkuu mimi sasa hivi nimehamia kwenye kilimo cha pili pili kichaa, nataka zikiiva niponde ponde halafu naweka kwenye maji naenda kumnywesha Msomali na chai ya Tangawizi kali.
Mkuu mimi sasa hivi
nimehamia kwenye kilimo cha pili pili kichaa, nataka zikiiva niponde
ponde halafu naweka kwenye maji naenda kumnywesha Msomali na chai ya
Tangawizi kali.