Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Holly hell....Tanzanians with ua average IQ,no wonder ua ladies get laid so easily

I used to chop many kenyan girls .. How is that? They have small IQ?
Give us a break.
Madem wa kenya wanafagilia sana wanaume wa kitanzania . No
Wonderr mna chama cha kutetea wanaume wa kenya kwa sababu mnapigwa sana hamuwaridhishi kitandani.
 
Na marefarew nao walichelewa walikuwa hawajalipiwa pesa ya hotelini..
Gemu itaanza soon
 
I used to chop many kenyan girls .. How is that? They have small IQ?
Give us a break.
Madem wa kenya wanafagilia sana wanaume wa kitanzania . No
Wonderr mna chama cha kutetea wanaume wa kenya kwa sababu mnapigwa sana hamuwaridhishi kitandani.

Whatever man..Thing is,tanzanians feel inferior to Kenyans,that explains why u r so busy hating and spreading any sort of propaganda..---- dush #lol
 
Sasa kijana naona unaleta dharau kwa Watanzania...wengine tulikuwa kimya tukijua unajenga hoja

Hivi umesahau namna wanaume wa Kenya wanavyoendekeza ushoga...haswa maeneo ya Lamu huko...
RE-read this thread's heading and come back to your senses
 
Mechi ya fainali baina ya Kenya na Sudan ndio imeanza hapa uwanja wa Nyayo katikati kabisa ya jiji la Nairobi...
 
Kenya wamefanya shambulizi la kushtukiza langoni mwa Sudan...lakini krosi kutoka wingi ya kushoto inakosa umaliziaji makini...
 
Kona ya kwanza ya mchezo...

Sudan wanapiga kuelekea lango la Kenya...inaokolewa
 
Kenya wamekosa nafasi ya wazi hapa...Allan Wanga ambaye ni kapteni kapiga shuti pasipo kutumia akili

Dk 15
Kenya 0 - 0 Sudan
 
Hadi sasa Kenya wamepoteza nafasi mbili za wazi...
 
Goaaaaalllll....Kenya wanapata goli la kwanza ni Allan Wanga anapiga kichwa maridadi baada ya kupokea majimaji safi kutoka wingi ya kushoto ilipigwa na David Owino...

Dk 35

Kenya 1 - 0 Sudan
 
sisi kweli ni wa kukosa yani.
sijabahatika kuangalia mechi, nmekuja mbio kuangalia matokeo..nimekuwa mpole ghafla!
Mkuu ndo maana makocha huwa wanafukuzwa, kocha ana mchango mkubwa sana kwenye ushindi, kwa kocha mzuri huwezi kumpanga bwana mdogo vile apige penati ya ushindi hata kama kwenye mazoezi alifanya vizuri wakati una wakongwe kama Ivo mwenyewe, pamoja na captain, inanikumbusha mechi moja ilikuwa ni Simba sijui na timu gani, Simba tukapata penati dakika za mwisho na tulihitaji ushindi badala ya wazoefu kama Nico Nyagawa kupiga ile penati wakampa bwana mdogo mnigeria alikuwa anaitwa Ikechuku, kilichofuata ni kukosa ushindi.
 
Back
Top Bottom