Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Japokuwa uwanja ni m'baya ila Tanganyika wanacheza mpira mzuri sana.
 
Kenya wanajisifu kwa maendeleo wakati hakuna hata uwanja unaoeleweka.

So far wana viwanja viwili tu vizuri na vyote vipo Nairobi, kimoja ni kile Nyayo na kingine kile cha Kasarani kilichopo kule Loisambu...
 
So far wana viwanja viwili tu vizuri na vyote vipo Nairobi, kimoja ni kile Nyayo na kingine kile cha Kasarani kilichopo kule Loisambu...

watakuambia wanajenga barabara...
 
Kucheza tucheze sie magoli wafunge waaao, Majaaanga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…