Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Afadhali tungefungwa baada ya extra time.

Anyway, ngoja tuanze kutafuta visingizio sasa.
Uwanja ulikuwa mbovu!
Refa katuonea.
 
Kenya 1 - 0 Tanzania | '4 Clifton Miheso
3 added minutes
 
hawa makocha wakizungu wachache sana wanaweza mipira ya kibongo....wakishazoea tu basi nao wanakuwa yale yale...ili mradi Ngasa anapendwa na JK basi lazima acheze kila siku hata kama anaboronga ...au Samata hata akiharibu au kuwa off-form hawezi kuwa subbed !! Weka hao yosso, weka huyo mjeshi striker afanye kazi achana na hao shikamoo jazz band !!
 
umeona enhee..
 
Dk zilizobakia hazitoshi hata kwa kinda la njiwa kumeza mbegu ya ulezi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…