Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Ila ubovu wa Uwanja unachangia sana, maana sisi tunacheza mpira chini wao washazoea mvua wanapiga mpira wa juu tu.
 
Huyu dogo Faridi Musa ni kichefuchefu!pasi zote kapoteza.
Hapa alitakiwa kuingia Chanongo au Messi.

Mimi mwenyewe nimeduwaa kuona sub kama ile. Hao dogo wa Simba nawakubali sana ingawa mimi ni wa itikadi pinzani. Poulse aambiwe finito, hana jipya.
 
Sijui ndio kusema hatujazoea kucheza usiku ama...
 
mkuu watu8 ulisema kweli, sisi tuna mchecheto sana yani!

Yaani hadi inakera mkuu..hii timu wachezaji wamekaa muda mrefu wanajuana lakini likija suala la mechi zenye presha huwa wanadebweda...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…