Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Mechi imeahirishwa uwanja umejaa maji,itachezwa saa 12 jioni.
 
Wameshaanza kutujengea mazingira magumu. Inaana na hiyo mechi ya pili itachezwa saa ngapi?
 
Huyu Jamal Malinzi ni member humu, tunamuomba aje atoe ufafanuzi sio anakuja wakati wa kampeni tu za uchaguzi!
 
Last edited by a moderator:
game itapigwa nyako kenya lazma wakae leo
 
Ni kweli imeahirishwa..tukutane saa 12 jioni..
 
pamoja inamaana maandalizi ya miundo mbinu ni duni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…