ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #621 Maundumula said: Jamani update tafadhali wenzenu tunakufa na kihoro huku! Click to expand... wanaingia kwenye matuta sasa mkuu..
Maundumula said: Jamani update tafadhali wenzenu tunakufa na kihoro huku! Click to expand... wanaingia kwenye matuta sasa mkuu..
Tiba JF-Expert Member Joined Jul 15, 2008 Posts 4,607 Reaction score 3,187 Dec 7, 2013 #622 Mapunda ni mzuri kwa kuziona penalti, anaweza kutuokoa. Tiba
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 7, 2013 Thread starter #623 Penati... Nyoni...anakosaaaa
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Dec 7, 2013 #624 Tutashinda tu.
Mwita Maranya JF-Expert Member Joined Jul 1, 2008 Posts 10,565 Reaction score 7,988 Dec 7, 2013 #625 Masuke said: Pamoja na kwamba m/kiti wa CECAFA ni mtanzania bado wanatuwekea zengwe. Click to expand... Tenga ameshindwa kuliona Hilo au kamuachia mikoba Musonye aendeshe mashindano? Musonye ni bogus kabisa anaweza kufanya maamuzi ya kikinga sana ili kuibeba timu anayoitaka.
Masuke said: Pamoja na kwamba m/kiti wa CECAFA ni mtanzania bado wanatuwekea zengwe. Click to expand... Tenga ameshindwa kuliona Hilo au kamuachia mikoba Musonye aendeshe mashindano? Musonye ni bogus kabisa anaweza kufanya maamuzi ya kikinga sana ili kuibeba timu anayoitaka.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #626 nyoni duu..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 7, 2013 Thread starter #627 Walusimbi...anakosaaaa
scatter JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,671 Reaction score 940 Dec 7, 2013 #628 masikini aibu ..
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #629 kapiga na wauganda juuuuuuuuuuuu..... i see tanzania to the semi final..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 7, 2013 Thread starter #630 Samatta....anakosaaaa
scatter JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,671 Reaction score 940 Dec 7, 2013 #631 nje nje nje
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 7, 2013 #632 Come on u Kili Boys!!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #633 samata kapoteza kabisa matumaini..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 7, 2013 Thread starter #634 Okwi....anapataaaaa
M majeshi 1981 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 2,090 Reaction score 813 Dec 7, 2013 #636 kamojatu said: Safi Sana taifa stars Click to expand... cranes wakirudisha matusi yanaanza, tuipende timu yetu kiukweli
kamojatu said: Safi Sana taifa stars Click to expand... cranes wakirudisha matusi yanaanza, tuipende timu yetu kiukweli
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #637 okwi kishafanya yake..
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Dec 7, 2013 #638 Wamepata ya kwanza
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 7, 2013 Thread starter #639 Kiemba....anapataaa
scatter JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,671 Reaction score 940 Dec 7, 2013 #640 hali ni ngumu