Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dakika zilizobakia hazitoshi hata kwa kuku kumeza punje ya ulezi...

Mpira ukiisha hivi ni matuta...
 
Wataenda penati au wataongeza muda
 
Duh huu mtanange utakuwa wa kufa mtu mi bado nipo kazini kudadeki!
 
Dk 90+3

Uganda 2 - 2 Kili Stars
 
Mpira umeishaaaaa
 
Full Time uganda 2 - 2 tanzania kifuatacho ni matuta tu..
 
Jamani update tafadhali wenzenu tunakufa na kihoro huku!
 
Mungu ibariki Kili Stars...

Mungu wabariki wachezaji wa Kili Stars
 
Matuta jamani wadau tushirikiane kuminya mambupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…