Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Hawa washambuliaji wetu wanatakiwa waongeze goli la tatu ili mlima kwa Uganda uwe mkubwa kuupanda, maana tofauti ya goli moja sio zuri sana kwa afya ya mashabiki.
 
leo ulimwengu anafanyiwa madhambi hadi kawa mpole..
 
Dk 70

Uganda 1 - 2 Kili Stars
 
Hawa washambuliaji wetu wanatakiwa waongeze goli la tatu ili mlima kwa Uganda uwe mkubwa kuupanda, maana tofauti ya goli moja sio zuri sana kwa afya ya mashabiki.

ndo manake mkuu maana wanataka goli kama nini..
 
Dk 72

Uganda wanasawazisha...

Uganda 2 - 2 Kili Stars
 
Hii mechi sijui kama tutatoka salama...tunakaribisha sana mashambulizi...

Tunapoteza possesion kizembe...
 
Kama tutafungwa basi kuna haja ya kila tukipangwa na Uganda inabidi tujitoe, hii sasa fedheha wametufunga mara nyingi mno.
 
refa anataka uganda ifunge nishaanza kuamini hilo..
 
Kama tutafungwa basi kuna haja ya kila tukipangwa na Uganda inabidi tujitoe, hii sasa fedheha wametufunga mara nyingi mno.

ukiangalia hapa uganda washakubali kutoka ila uzembe wetu ndio unatuponza..
 
Ngassa anatoka nje...kaumizwa

Chuji anaingia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…