Nimekosa uhondo kweli maana toka asubuhi nimejiandaa kuona hii match live kupitia TBC1 halafu muda unafika wanatuwekea mambo ya Mandela, sijui kwa nini habari za Mandela wasionyeshe muda mwingine, hawa TBC1 wana matatizo sana.