Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 4, 2013 Thread starter #421 Ngoja tumsubiri huyo mshindi wa kwanza wa kundi C hiyo kesho... Makoye Matale said: Tanganyika kukutana na Uganda au Sudan. Yamkini 95% tutakutana na Uganda, bila shaka mechi hii itakuwa fainali. Click to expand...
Ngoja tumsubiri huyo mshindi wa kwanza wa kundi C hiyo kesho... Makoye Matale said: Tanganyika kukutana na Uganda au Sudan. Yamkini 95% tutakutana na Uganda, bila shaka mechi hii itakuwa fainali. Click to expand...
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,518 Reaction score 14,178 Dec 4, 2013 #422 Makoye Matale said: Bornwel Mwape kapiga bao na kuifanya Zambia kuwa mbele kwa bao 3 dhidi ya Somalia. Click to expand... Davies Mwape aaah kumbe Bornwel loh haina shida ilimrad naye n Mwape.:tape:
Makoye Matale said: Bornwel Mwape kapiga bao na kuifanya Zambia kuwa mbele kwa bao 3 dhidi ya Somalia. Click to expand... Davies Mwape aaah kumbe Bornwel loh haina shida ilimrad naye n Mwape.:tape:
S Sanjaboy Member Joined Sep 21, 2013 Posts 70 Reaction score 11 Dec 4, 2013 #423 Duh wajamen bila kipingamizi tunakutana na uganda robo fainal duh!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 4, 2013 #424 Sanjaboy said: Duh wajamen bila kipingamizi tunakutana na uganda robo fainal duh! Click to expand... usihofu mkuu tutawafunga tu..
Sanjaboy said: Duh wajamen bila kipingamizi tunakutana na uganda robo fainal duh! Click to expand... usihofu mkuu tutawafunga tu..
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Dec 4, 2013 #425 ndetichia said: usihofu mkuu tutawafunga tu.. Click to expand... Kiufundi The Cranes wako vizur kuliko sisi lakini tunayo advantage ya kuwafahamu vizuri, itakuwa ni ajabu beki yetu kusumbuliwa na Okwi na Kiiza wakati uchezaji wao tunaujua fika. Tunayo advantage ya kuwatungua bao 3 kama walivyotufanya LY.
ndetichia said: usihofu mkuu tutawafunga tu.. Click to expand... Kiufundi The Cranes wako vizur kuliko sisi lakini tunayo advantage ya kuwafahamu vizuri, itakuwa ni ajabu beki yetu kusumbuliwa na Okwi na Kiiza wakati uchezaji wao tunaujua fika. Tunayo advantage ya kuwatungua bao 3 kama walivyotufanya LY.
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,417 Dec 4, 2013 #426 Ongera Samatta
S Sanjaboy Member Joined Sep 21, 2013 Posts 70 Reaction score 11 Dec 5, 2013 #427 Muda wa mech za robo fainal naomben tujuzane wadau
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #428 Match Day 9 Dk 28 Rwanda 0 - 0 Eritrea
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #429 Sanjaboy said: Muda wa mech za robo fainal naomben tujuzane wadau Click to expand... Tutakujuza muhimu ufuatilie huu uzi tu mkuu...
Sanjaboy said: Muda wa mech za robo fainal naomben tujuzane wadau Click to expand... Tutakujuza muhimu ufuatilie huu uzi tu mkuu...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #430 Dk 45 HT Rwanda 0 - 0 Eritrea
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #431 Dk 55 Rwanda 0 - 0 Eritrea
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #432 Dk 70 Rwanda 0 - 0 Eritrea
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Dec 5, 2013 #433 Rwanda 1- Eritrea 0
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #434 Dk 81 Rwanda 1 - 0 Eritrea Hii hali inaifanya nafasi ya Zenji kucheza robo fainali kupotea...labda Eritrea wasawazishe
Dk 81 Rwanda 1 - 0 Eritrea Hii hali inaifanya nafasi ya Zenji kucheza robo fainali kupotea...labda Eritrea wasawazishe
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #435 Dk 90 FT Rwanda 1 - 0 Eritrea
S Sanjaboy Member Joined Sep 21, 2013 Posts 70 Reaction score 11 Dec 5, 2013 #436 Duh! Ina maana yaheee! Ndo by! by!
Z ZeTicha Member Joined Jan 20, 2012 Posts 80 Reaction score 2 Dec 5, 2013 #437 Ni kweli jaman kuna uwezekano wa kucheza na Uganda??
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #438 ZeTicha said: Ni kweli jaman kuna uwezekano wa kucheza na Uganda?? Click to expand... Kama Uganda atashinda mechi ya leo dhidi ya Sudan, basi pasipo shaka yoyote atakutana na Tanzania Bara... Ushindi wa Sudan au sare ya aina yoyote ile itaifanya Tanzania Bara kukutana na Sudan..
ZeTicha said: Ni kweli jaman kuna uwezekano wa kucheza na Uganda?? Click to expand... Kama Uganda atashinda mechi ya leo dhidi ya Sudan, basi pasipo shaka yoyote atakutana na Tanzania Bara... Ushindi wa Sudan au sare ya aina yoyote ile itaifanya Tanzania Bara kukutana na Sudan..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #439 Sanjaboy said: Duh! Ina maana yaheee! Ndo by! by! Click to expand... Zanzibar ndio kayaaga hivyo kwa utofauti wa uwiano wa mabao ya kufunga na kufungwa. Zanzibar ana (-3) baada ya kucheza mechi tatu, wakati Rwanda ana (-1) baada ya mechi tatu pia.
Sanjaboy said: Duh! Ina maana yaheee! Ndo by! by! Click to expand... Zanzibar ndio kayaaga hivyo kwa utofauti wa uwiano wa mabao ya kufunga na kufungwa. Zanzibar ana (-3) baada ya kucheza mechi tatu, wakati Rwanda ana (-1) baada ya mechi tatu pia.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,271 Reaction score 108,268 Dec 5, 2013 Thread starter #440 Mechi ya pili kwa leo Dk 7 Sudan 0 - 0 Uganda