Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dk 45 HT

Tanzania Bara 1 - 0 Burundi
 
kanishangaza sana sio kawaida yake..

Of course jamaa kabadilika sana...nahisi amekutana na kocha mzuri wa makipa.

Nakumbuka Ivo alikuwa mbovu sana wa mipira ya krosi...
 
kanishangaza sana sio kawaida yake..
Kenya wanamkubali sana Ivo Mapunda,anapangua sana mipira ya adhabu na mashuti. Mechi za mwanzo alipokuwa akitoa michomo jamaa wa GoTV wanasema " that's why you need Ivo"
 
Of course jamaa kabadilika sana...nahisi amekutana na kocha mzuri wa makipa.

Nakumbuka Ivo alikuwa mbovu sana wa mipira ya krosi...

Siku akitangaza anauza taulo alilokuwa nalo uwanjani nadhani mashabiki wa Kenya watanunua kwa pesa nyingi.
 
Warundi wamefanya mabadiliko mawili hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…