Kuhusu Ngongoti nadhani atakuwa ameachwa ila kuhusu Amisi Tambwe Mapenati hajaitwa kwa sababu Burundi wanataka watumie wachezaji wao wa ndani ili kujiandaa na mashindano ya CHAN ndo maana hata mshambuliaji wenu hajaitwa.

Mechi zote zinarushwa na TBC1
14:00 Sudan Kusini vs Ethiopia
16:00 Kenya vs Zanzibar
Sina uhakika mkuu kama watarusha matangazo ya bunge au haya ya mpira...
Kama wasipoonesha bado unaweza uka tune kwa S9 au Select, UBC au KBC
Dk 85
Sudan Kusini 0 - 2 Ethiopia
TBC 1 wanaanza kuonyesha but km kuna bunge tunaweza kupotezana half time! Tbc hawaamini hata kidogo. Leo watakutangazia game zote live kesho bila hata samahani watakata matangazo