Naaomba mwana jf yeyote ambaye ameguswa na anaendelea kuguswa na ushenzi unaofanywa na chama cha mapinduzi dhidi ya chadema ambaye ni muelewa wa mambo ya corporate governance,internal controls na risk management tuwasiliane ili tuweze kutengeneza timu itakayojitolea kufanya kazi ya assessment na evaluation ya maeneo hayo kwa chama,ili kubaini mianya inayosababisha chama kuwa exposed na kutoa nafasi kwa hawa washenzi kutengeneza uongo na uzushi kwa lengo la kuhadaa watanzania na kuwatoa kwenye agenda za msingi ambazo zinajitosheleza bila wasiwasi kuwa sababu za kukiweka pembeni chama hiki kizee,kichovu na gonjwa.
Karibuni