Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,949
- 7,200
Serikali ya Awamu ya Tano inasifa ya kukosa good coordination kati ya watendaji. Hii imepelekea matatizo mengi ambayo tumeyashuhudia.
Nashauri iundwe haraka Task Force itakayoongozwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ili ku coordinate funds na resources zingine.
Kumbuka inabidi tushut down shughuli za utalii kwa muda na hata miradi mikubwa itayumba kama siyo kusitishwa. Tutahitaji injection ya hela kutoka Hazina, Benki Kuu na hata nje ili kutoathiri shughuli za serikali na uchumi kwa ujumla.
Kipindi hiki kigumu ni muhimu kuwa na mtu ambaye ni link nzuri kati yetu na mataifa ya nje.
Wote mnajua diplomasia yetu imeyumba katika hii inayosemwa ni vita ya kiuchumi. Juzi Waziri Kabudi alitoka kutoa ahadi huko Washington lakini baada ya siku chache ahadi zake zilionekana ni bandia baada ya wabunge kadhaa kuvunjwa mikono na migongo.
Mbele ya mabeberu atakuwa anaonekana si mtu muaminifu. Hatuhitaji distraction katika janga hili. Kabudi atashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Ikiwapendeza watu wenye mamlaka, haitakuwa vibaya kumrudisha mtu kama Balozi Mahiga pale Wizara ya Mambo ya Nje. Tusiendeshwe na pride bali uzalendo kwanza.
Pia tusikimbilie kutumia Jeshi kama tulivyoanza kuzoezwa miaka ya karibuni. Sekta binafsi iwezeshwe katika kutengeneza mahitaji muhimu ili kukabiliana na mfumuko wa bei wa bidhaa muhimu.
Tukitumia sekta binafsi hasa wajasiliamali wadogo tutakuwa tunaua ndege wawili kwa jiwe moja.