Special message to Mama Janeth Magufuli

Acha uchochezi na uchongqnishi mleta mada. Hakuna aliyemnanga jiwe leo. Hayo ni mawazo yako tu.

Hebu mtaje mtu aliyemtaja jiwe kwa jina lake. Vinginevyo ni uzushi na uzandiki tu unaojaribu kuueneza.
Kwa Akili zako ndogo unatetea Ujinga wa Yule mzee Mropokaji
 
Nanukuu kutoka kwa mzee Makamba "Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"

Hii kauli ndio imeleta utata huko.
Huyu kizee hana akili timamu. Kwa kumtaja tu jakaya kwamba anadunda direct frontline wanakaa marais kwani jakaya ni Rais mstaafu. CCM inadhani ina hazina kumbe ni level ya mashetani.
 
3/4 ya wajumbe wa NEC TAIFA waliochaguliwa wametokea kanda ya Ziwa.
SAMIA SULUHU HASSAN umejifunza Nini?
 
Ubaya kuna mambuzi yanadhani yanamtonesha machungu tu mjane kumbe ni vidonda vimejaa mioyo.ya watanzania
 
Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"
Mwenye hii clip tafadhali
 
..hotuba nzima ya Mzee Makamba hii hapa.

..naomba muisikilize ili kutenda haki.

..kwa mtizamo wangu kuna baadhi yetu wanaikuza au kuipa tafsiri potofu kauli za Mzee Makamba.

..kinachoendelea hapa ni sehemu ya michezo michafu ya siasa.

Hebu tuwe realistic, tusijaribu kubadilisha ukweli wa kilichosemwa na Mzee Makamba, hapo hakuna siasa wala chochote kingine.

Kwa hiyo video uliyoiweka hapo juu, nimemsikia kwa kinywa chake akitamka; "watu wazuri hawafi" huyu amekosea, aambiwe ukweli, asitetewe akazidi kuharibika, mnamponza.

Ndio maana Samia ameomba radhi kwa hiyo kauli yake, kuonesha mzee alikosea.
 
Mungu amempa neema ya kuishi yule mzee leo anatukana wafu, baba tenda muujiza... iwe barabarani, au hata akinywa maji apaliwe, au hata akilala tu tuone imeisha iyo...

Msamehe usimuombee kifo.
 
The truth is, Samia ameomba radhi kwa kauli aliyoitoa Mzee Makamba kwasababu alijua Makamba alikosea, hapa msijaribu kumtetea Mzee Makamba.

Kwa kinywa chake, hakutakiwa kutoa kauli ile ya "watu wazuri hawafi" kwenye mazingira tuliyopo, mbele ya Mama Janeth Magufuli, na Mama Mkapa, msikwepeshe huu ukweli kwa kujaribu kulipaka kosa mafuta, mwambieni ukweli huyo mzee abadilike.
 
Kwa Akili zako ndogo unatetea Ujinga wa Yule mzee Mropokaji

Unajua wabaya ndio hujishuku bila kutajwa. Mzee alikuws anajisahihisha baada ya kusema mama asipofika 2025 Mungu ataleta mwingine ndipo akachomekea wazuri huwa hawafi. Sasa kwa muktadha huo alikuwaambiaje anamuongelea Magufuli au anamsifia mama kwamba ni mzuri hatakufa mapema.

Tuache kuishi in denial.
 
Huyu kizee hana akili timamu. Kwa kumtaja tu jakaya kwamba anadunda direct frontline wanakaa marais kwani jakaya ni Rais mstaafu. CCM inadhani ina hazina kumbe ni level ya mashetani.

Naona hiyo kauli imewauma Sana. Malipo ni hapa hapa, walioshangilia Lissu kulimwa risasi leo waanalalama wameonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…