Sasa we una utajiri gani kapuku wewe? Mtu unategemea mshahara wa kupiga domo, simu yenyewe kila leo ukipiga screenshot inaonekana ni INFINIX, utajiri upi?? Mafukara mna mambo ya hovyo sana.Sawa miongoni mwa wasio na akili na maskini waliohitaji faraja alikuwa anakubalika ndio japo sio kwa wakulima..
Madikteta wote huwa wanajifanya kuipigania maskini Ila huwa Ni maneno meeengi hivyo hivyo kina Nyerere
Hawa jamaa mungu wao naona ni mgeni Tanzania kaja kipindi cha Magufuli hajui mambo mengi ya nyuma huko, na si ajabu huyo mungu wao sasa hivi hayupo tena.Wale watu 5 waliouwa na bomu pale Soweto kwenye mkutano wa chadema wakati huo rais akiwa jk na katibu mkuu wa ccm akiwa kinana huyo mungu wako atalipa lini?
Vipi mungu wako atalipa lini ile kadhia ya Mwangosi na Ulimboka?
Labda hayo matukio ya kinyama hayakutakiwa kulipwa na huyo mungu wao, hivi kifo kinawezaje kuchukuliwa kama adhabu ya watu wabaya duniani ikiwa kila mtu anakufa?Wale watu 5 waliouwa na bomu pale Soweto kwenye mkutano wa chadema wakati huo rais akiwa jk na katibu mkuu wa ccm akiwa kinana huyo mungu wako atalipa lini?
Vipi mungu wako atalipa lini ile kadhia ya Mwangosi na Ulimboka?
Ni kweli kabisa mungu wao kaja kipindi cha Magufuli tu na si ajabu sasa hivi hayupo tena.Labda hayo matukio ya kinyama hayakutakiwa kulipwa na huyo mungu wao, hivi kifo kinawezaje kuchukuliwa kama adhabu ya watu wabaya duniani ikiwa kila mtu anakufa?
Nadhani Mungu wao alikuja kipindi cha Magufuli tu, na kama ni hivyo nadiriki kumtukana matusi yote huyo mungu wao bila uoga wowote.
Waliokufa siyo jiwe tu, wapo chinga, mchonga na amani. Kwa nini watu mnadhani Makamba alimlenga jiwe tu?Nanukuu kutoka kwa mzee Makamba "Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"
Hii kauli ndio imeleta utata huk
Ila kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kujenga uwanja mkubwa wa ndege kijijini Chato kwako furaha?Kwa akili yako aliyokuwa anayofanya huyo mmeo unaona Ni sawa kwa akili. Mwamba alikuwa anawatafutiwa mwanya wavunje sheria watengue contracts za madini za gesi ili iwe kwa faida yetu sote. Wewe unaropoka. Nikuambie wenye vidomo Domo wanamalizwa ili wanyamaze. Nchi nyingi mno wanafanya viongozi mkuu. Soma history.
Ila tuache, mie nilikuwa na machungu na nchi inavyoliwa na wachache.
Tena liuaji mwisho wake hushangiliwa na kila mpenda hakiImesikitisha sana....ila kila chenye mwanzo kina mwisho.
Bahati nzuri umefafanua ni akina nani mnaobubujikwa na machozi. "raia wa kawaida", na kwa tafsri ya kiswahili chetu hao ni waporipori wasiojielewa wasio na mbele wala nyuma ila kwa wanaojielewa Magufuli was a curse in our long-term development trajectory, including national stability.Ajue hayuko peke yake. Kila raia wa kawaida ambao ndio tupo wengi bado tunabubujikwa machozi. Na hawa tunajua Mungu atawalipa kwa namna ya ajabu. Maana chozi la mnyonge halitadunda bure sakafuni.
Kama maendeleo ya kujenga uwanja mkubwa wa ndege kijijini Chatokila mtu na mtazamo wake...
kila mtu na hulka yake...
ila kipato huleta majivuno cheo nacho pia mamlaka ya kulevya....
Sio kila mzee ana busara kumbuka hata wapumbavu pia huzeeka...
Watamdiss sana magufuli lakini kila mwenye macho na mzalendo aliona maendeleo aliyo yafanya...
r.i.p 𝕞𝕒𝕘𝕦𝕗𝕦𝕝𝕚 [emoji174]
Kwa sababu Magufuli kafa kabla ya 2025 hakumalizia awamu yake ya pili na ndio rais pekee aliyekufa madarakani, hivyo Mzee ndio akasema Samia hatokufa kabla hiyo 2025 maana watu wazuri hawafi.Waliokufa siyo jiwe tu, wapo chinga, mchonga na amani. Kwa nini watu mnadhani Makamba alimlenga jiwe tu?
lizee lijinga sana hiloNanukuu kutoka kwa mzee Makamba "Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"
Hii kauli ndio imeleta utata huko.
Alikuwa anakubalika sana na sukumagang
Ccm hadi leo imeng'ang'ania madaraka haitaki kutoka si kwa heri si kwa shari ila bado ina watu wenye mahaba na ccm hadi sasa na maisha yanaendelea.Bahati nzuri umefafanua ni akina nani mnaobubujikwa na machozi. "raia wa kawaida", na kwa tafsri ya kiswahili chetu hao ni waporipori wasiojielewa wasio na mbele wala nyuma ila kwa wanaojielewa Magufuli was a curse in our long-term development trajectory, including national stability.
Moja kati ya shida kubwa aliyoiachia nchi ni kutengeneza kundi kubwa la wajinga wanaoamini Tanzania ni Magufuli na Magufuli ndiyo Tanzania. Imagine, hapo ameondoka madarakani kwa kifo watu hamjiamini je miaka 10 ingefika mngekubali aondoke kwa katiba? Bila shaka angeiweka Tanzania kwenye Ramani sawa na Rwanda, Burundi, Uganda nk. Nchi ya kubadilisha vifungu vya katiba ili kumridhisha mwanadamu atakayekufa siku moja.
Kusema Mungu atawalipia kwasababu chozi la mnyonge halitadunda bure sakafuni as if the man was "assassinated". Kuamini hivyo ni kutomuamini Mungu kuwa kuzaliwa, kuishi na kufa ni sehemu ya mfumo aliowaumbia wanadamu.
Ukifikiria sana utaona sio ccm iliyong'ang'ania madaraka. Ni "system" yenyewe baada ya kujiridhisha kuwa ndani ya ccm hii kuna nafuu kuliko nje ya ccm. Vyama vya upinzani vingechukua jukumu la kujijenga na kuwa vyama vya kitaifa, na visivyotegemea harakati, definitely "system" itakuwa tayari kufanya kazi nao. Hivi kweli CDF atakuwa mjinga kiasi gani kwa mfano akubali Serikali iwe chini ya genge la kihuni kama chadema ambao kwa miaka 30 sasa imeshindwa kujenga hata makao makuu yake?? Sisemi ofisi za mikoa na Wilaya na kata zinazoeleweka. Siipendi ccm lakini ina nafuu kubwa Sana kuliko wengine.Ccm hadi leo imeng'ang'ania madaraka haitaki kutoka si kwa heri si kwa shari ila bado ina watu wenye mahaba na ccm hadi sasa na maisha yanaendelea.
Kwahiyo tuseme hata kifo cha Magufuli ni system ndio iliyonuondoa ili kuzuia asibadili katiba?Ukifikiria sana utaona sio ccm iliyong'ang'ania madaraka. Ni "system" yenyewe baada ya kujiridhisha kuwa ndani ya ccm hii kuna nafuu kuliko nje ya ccm. Vyama vya upinzani vingechukua jukumu la kujijenga na kuwa vyama vya kitaifa, na visivyotegemea harakati, definitely "system" itakuwa tayari kufanya kazi nao. Hivi kweli CDF atakuwa mjinga kiasi gani kwa mfano akubali Serikali iwe chini ya genge la kihuni kama chadema ambao kwa miaka 30 sasa imeshindwa kujenga hata makao makuu yake?? Sisemi ofisi za mikoa na Wilaya na kata zinazoeleweka. Siipendi ccm lakini ina nafuu kubwa Sana kuliko wengine.
Kama wewe huhusiki si unapiga kimya tu kwani nilikushikia bango kwenye comment? Vunga kama comment haikuhusu.Zetu? How? Andika kwa umoja sio uwingi🤤
They are just paranoia...Waliokufa siyo jiwe tu, wapo chinga, mchonga na amani. Kwa nini watu mnadhani Makamba alimlenga jiwe tu?
Don't you forget to hit the ignore button mo-fo!!If you don't mind, let me ignore you coz' I doubt if you're worthy my time... sorry!
Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.....kama kweli wewe siyo ng'ombe niambie jibu la kitendawili hiki ....Nguruwe kavaa hijabuAcha kujidanganya alikuwepo Nyerere aliyeleta uhuru who is Magufuli hadi CCM ife?haiwezekani na tangu amekufa unaona mambo yanaendelea kawa kawaida hakuna lililowahi kubadilika narudia CCM kufa ni hadi kizazi hiki kiondoke waje wengine watu wana njaa so anytime wanabadilika badilika