Tulia wewe na ujinga wako, usianze kutolea watu lugha za maudhi ili kuficha upuuzi wako.Acha kujifanya unanmijua, kima wewe...
Yaani unajiona una uchungu na Magu kuliko Mama Janeth mwenyewe...
Au nulikuwa mke mwenzake?
Kwa mara ingine unajibu bila kujua namaanisha niniRoho mbaya kuliko aliyesema angekuwa rais wa Zanzibar asinge sign makaratasi Maalim akatibiwe nje?. Mwenye roho mbaya anajulikana ndio maana siku hizi hakuna watu wasio julikana na kupiga wabungr risasi hadharani au kuvamia vituo vya redio.
Achana nae mpuuzi huyo, anatafutia wengine ban isiyo na maana.Kima mama yako. Wewe ndio unazungumziwa thread hii?
Uharo. Hivi hujui bila mJPM kusimama 2015 upinzani walikuwa wanachukua nchi
Ngoja hawa wazee waondoke duniani.
Tutaenda kuharisha juu ya makaburi yao.
Hakuna haja ya kuheshimu wazee wapumbavu kama huyu.Uwe na heshima.
Hawa wapuuzi wanafikiri wao tu ndio wanajua matusi.Achana nae mpuuzi huyo, anatafutia wengine ban isiyo na maana.
Hawa ndio wauaji na washirikina.
Huwezi kutetea ujinga wa Makamba huku ukisema huna mahaba nae.Please Mimi Sina mahaba na huyo mzee tangu alipokuwa katibu mkuu CCM na Mimi CHADEMA. Tangu kipindi hicho siivi na mzee makamba. Ila kwenye ukweli tuseme. Mzee makamba hakumuongelea Magufuli per se, issu ya Magufuli imekuja na kujishtukia.
Ni sawa mtu ana VVU halafu atokee Rafiki yake aseme tujihadhari na ukimwi ndugu zangu. Yule mwathirika atajishtukia kwamba anasemwa yeye.
Kwa mara ingine unajibu bila kujua namaanisha nini
Rais Gani hajawahi kuumiza watu?hao siku zao zinahesabikaMpaka kesho Adolf Hitler anasemwa vibaya mno licha ya kwamba alikufa zaidi ya miaka 70 iliyopita. Magufuli ni nani watu wasimseme?
Kama ambavyo Hitler aliwaumiza watu enzi za utawala wake, vivyo hivyo na Magufuli amewaacha baadhi ya Watanzania wakiwa na majeraha mazito mioyoni mwao.
Wapo wanaoamini ndugu zao waliuawa au kupotea kwa amri au maelekezo yake. Wapo waliodhulumiwa mali na kufungwa jela bila hatia. Hawa wote bado wanamchungu mengi sana na marehemu. Na sasa ndiyo nafasi yao ya kutoa nyongo. Tuwaache watoe yao ya moyoni.
Pia wapo ambao Magufuli aliwatendea mema. Pia wanahaki ya kuwa upande wake.
Sawa.Najibu nikijua unachomaanisha.
Mzee Makamba kakosea sana...Bora aache wahuni WA mitandaoni kuropoka hayo sio yeye
Rais Gani hajawahi kuumiza watu?hao siku zao zinahesabikaMpaka kesho Adolf Hitler anasemwa vibaya mno licha ya kwamba alikufa zaidi ya miaka 70 iliyopita. Magufuli ni nani watu wasimseme?
Kama ambavyo Hitler aliwaumiza watu enzi za utawala wake, vivyo hivyo na Magufuli amewaacha baadhi ya Watanzania wakiwa na majeraha mazito mioyoni mwao.
Wapo wanaoamini ndugu zao waliuawa au kupotea kwa amri au maelekezo yake. Wapo waliodhulumiwa mali na kufungwa jela bila hatia. Hawa wote bado wanamchungu mengi sana na marehemu. Na sasa ndiyo nafasi yao ya kutoa nyongo. Tuwaache watoe yao ya moyoni.
Pia wapo ambao Magufuli aliwatendea mema. Pia wanahaki ya kuwa upande wake.
Hakuna haja ya kuheshimu wazee wapumbavu kama huyu.
Wakihara unawaharishia tu. Iko hivyo.
Ngoja nikupuuze..Wewe mama tafute pahala ukasuguliwe, huku hakuna mabasha wakukukaza.
Sio lazma ucomment vingine Uzi kama haukuhusu pita kimyaAcha uchochezi na uchongqnishi mleta mada. Hakuna aliyemnanga jiwe leo. Hayo ni mawazo yako tu.
Hebu mtaje mtu aliyemtaja jiwe kwa jina lake. Vinginevyo ni uzushi na uzandiki tu unaojaribu kuueneza.
Move on, tafuta basha mwingine wa kusafisha huo mtaro... hawezi kurudi tena duniani, cho'ko wewe
Move on, tafuta basha mwingine wa
kusafisha huo mtaro... hawezi kurudi tena duniani, cho'ko wewe