Nahau baniani mbaya kiatu chake dawa hii ni aibu kwa bara la afrika na inaonisha viongozi wetu ni madeketeta wa kweli yaani sisi wafirika tulidai uhuru na kufanya mapinduzi ili tuhishimeke na maisha bora leo tunatoroka inchi yetu tunakimbilia inchi za waarabu kuwa watwana na watumwa wa kimanga wa kiomani sasa hii si laana badala kuijenga inchi yetu tena naona vijana wa nguvu kazi au wa taifa la kesho