Nimetengeneza forum hii hapa kwa ajili ya kila mmoja wetu, either u mjasiriamali, au umeajiriwa, au ni mwajiri au unasaka kazi....
This forum is for all of us.
The forum is:
www.ajira.org
Weka neno moja tu wadau wangu wa JF tech and Gadgets...
Cc: Donn, Never give up, King Kong III, e2themiza, C6, nyasiro
tatizo la watu kama wewe Chief Lugina na wengine kama wewe, mnaangalia muonekano zaidi ya functionality, hamjiulizi swali kama, je hii tovuti inafikisha lengo lake kusudiwa? mambo ya muonekano ni baadae, kwani google search ina uzuri gani zaidi ya search bar? lakini ndio website inayofunguliwa kuliko zote duniani, kwa nini? kazi yake ndo inayoifanya ifunguliwe mara nyingi, jf job search ni sehemu tu ndogo ya jf ila hii site ya ajira.org imekuwa dedicated kwa maswala ya job, sasa kabla hujafikiria kuandika comment ya kuponda jiulize basi kidogo
hajatumia mybb, katumia vB
Site bado sana, tatizo sio tu muonekano ila bado inasumbua sana kufungua katika mobile platforms, iOS nimeweza kufungua vzr tu ila katika Android imezingua na still katika Operamini haioneshi chochote zaidi ya Navigation bar..
Anaesema muonekano si important anajidanganya, na Google ina muonekano na mpangilio mzuri tu we kaka hapo juu futa kauli yako, sasa utalinganisha google na hii katika grafix?? muonekano una attract watu kuona site yako otherwise utapata viewers wachache....
ahsante mdau wazo zuri