Special kwa wadada

Special kwa wadada

Dada, sasa huo wakati wanaokwenda nao huo ndo utawaponza, mwishowe watasema hakuna waoaji lakini kumbe chanzo ni wao wenyewe.
Ndio hivyo mdogo wangu kila mtu anafanya kile anachoona kwake kina unafuu na kina faida baadae.
 
Mhmmhmhmhmhmhmhmh. Kila siku mwanaume ale chakula kilichopikwa na wengine sijui hotelini mara mama ntilie hata asionje chakula chako mwanamke?? Mhmhmmmmmmmmmm

Kwa siku za awali sawa but as days goes utajikuta tu you MUST cook for your man bwana acheni maneno yenu nyie

I think Lazima mwanamke uoneshe ujuzi wako na katika sekta ya mapishi pia....

Cc Smart911
Sawa, ngoja smart atatuambia kwa upande wako.
 
yaani tunapika kuliko hata mama zetu mixer ya mafundisho ya mama,kitaa na google
Lakini baadhi yenu kama alivyoainisha mleta uzi ujue tunayaona haya ndio maana tunasema sio wote jamani uzungu umekuwa mwingi siku hizi hata misibani kuna mabinti hawaji shughulishi kabisa mpaka kulia msibani bint analia kwa key ili asiharibu make up.
 
Yes super dear... mahondaw wangu...

Inasikitisha sana...


Ila am glad mahondaw wangu kwenye kazi za nyumbani upo vizuri sana... Huambiwi wala huelekezwi... Iwe kwa gas, mkaa, umeme au kuni... Iwe kwa sufuria, pressure au rice cooker... Iwe kwa fagio, mop, dekio la kuinama au vacuum cleaner...

Am glad to have you super dear..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom