Special Kwa Wa Baba Nawanaume woote

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,398
Ikiwa leo Nisiku yetu Kina Baba Na wanaume Kwa ujumla Embu Tujipongeze Na sisi Kwa Kukumbukwa Ulimwenguni

Lakini pia tusi sahau upendo wa wazazi wetu wakike &kina mama Walio tulea hadi kufikia Hatua Ya kuitwa Baba Fualani

Happy Baba"s Day

2ecb72797b5ff522936ca493021bcd76.jpg
 
Siku zote nizawanaume wanawake wamepewa siku mojatu mwaka mzima
Kutengwa siku moja ikaitwa ya wanaume nikuridishwa nyuma karne nyingi
Hata hiyosiku wanawake wakiadhimisha kwa mabango,t-shirts na vitenge au kanga wageni wa heshima/wageni rasmi huwa wanaume maranyingi kama sio marazote
 
Back
Top Bottom