englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
englibertm hivi tsunami huwa haipiti pande hizo au mkuu utafiti kuna kizuizi hapo
Mkuu utafiti hebu angalia hilo daraja la kuvukia hapo na ukifikiria umelala kwenye nyumba maji yanaipiga kwa chini na hujui hali ya hewa itabadilika saa ngapi ni issue kaka
Ninachojiuliza hilo daraja halina kizuizi wakati unavuka ukaweza kushkilia?