Special for men: Mwanamke anahitaji yafuatayo kutoka kwa mwanaume

Shyeeeh...!!! Yote hayo hapana kwa kweli labda wasubiri kwanza zoezi la uhakiki liishe.
 
Mkuu unajua kuwa wanawake wengi sana hapa duniani wameolewa ama wana mahusiano na watu wasiowapenda? (wamelazimika kwa sababu moja ama nyingine chiefly uchumi)..Je wanaume walioa hao wanawake (ama wenye mahusiano nao) wanajua kuwa hawapendwi (well mapenzi haswa toka moyoni)? Umeelewa nilichokuwa namaanisha?
Nmekuelewa Sana Mkuu,ila Usifikir Sababu wanapesa hawayafany hayo wasingedum na hao wanawake,pesa ni uhakika wa kuyatmiza hayo bila tabu lakin haimaanish inaweza kuyareplace haya!wanayafanya sabab wao ndo wamependa na ndo mana hao wanawake wameridhka kuish nao!!there are things u cant buy u ve to earn them and that is a fact!kuna mambo hayanunuliki au pesa hawez chukua nafas yake,mfano mwanamke wako anaumwa kwahyo sabub unalipa bill ya hospital na umempa mkeo hela ya kutosha hauhtajik kukaa kumuuguza!?
 
Ukimfanya Mwanamke km bidhaa "object to be bought"nae atakuchukulia km mnunuz " buyer" ndio mana siku usipoweza mnunua wewe watamnunua wengne si ndo ilivo hata sokon!
ndo mana mtoa mada amesema ukitaka kupendwa na mwanamke kuyapata mapenz yake ya dhat hajazungumzia ukitaka kuupata mwili wake mkuu! na ingekua ni hela kwel bas ndoa zisingekuwepo au wangeoa kina dangote tu!rejea uzi plz!
Watu wanashindwa tofautisha mapenz na ku sexx.. Nisaidie kuwatofautishia mkuu
 
Mh km unaona utumwa utakua umeoa mtu ambae humpendi!kwa mtu unaempenda hamnaga jambo gumu kulifanya labda linalohatarisha maisha au afya !sijaona kigum kwa mke hapo halaf et labda kwa kimada really are u serious!?
Limbwata hiyo utakuwa ushalishwa
 
1.mpe hela..2.mpe hela.3.mpe hela..atafika kileleni kila siku..utakuwa # moja wake kila siku. We poteza muda tu hutafuti hela uko busy kutenga masaa mawili kila siku kumsikiliza mlimbwede wako..wakija watu na deep pockets haooo sha sha sha
Wanasema heri kuwa masikini huru kuliko tajiri mtumwa...
 
Back
Top Bottom