-Tafuta chumba cha kukodi, nunua ubao, tengeneza bembea mbili..kisha pita kwa wazazi na vipeperushi vya huduma unayotoa.
'Muhimu, tambua kila mzazi anapenda kuhakikishiwa usalama wa mwanae..hivyo huduma yako lazima ilenge kukidhi hitaji lao hilo.
-Ukishindwa kabisa..tafuta mtu mwenye mtaji mpe wazo la kuanzisha Daycare..wewe unatoa huduma kwa maana ya expertise yako yeye anatia mpunga. Jifunze ushawishi watu wana pesa ishu ni namna gani anatoa pesa kukupa wewe..'The art of influence'
Ukikwama yote hayo..zunguka kwenye chekechea utabahatika..goodluck.