Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
harusi mliyofanya,
ni kiapo kikubwa mbele ya Mungu,
mkiheshimu mpaka siku ya hukumu.
kwa hiyo,
kaeni kwa amani nawausia,
mpaka kifo kiwatenganishe.
mzaapo watoto,
muwatunze vyema,
ni sifa kubwa.
kumbukeni wazazi,
wa pande zote,
wapatapo shida yoyote ile,
wasaidieni.
jaribuni kuwaepuka,
marafiki wabaya,
watakuja haribu ndoa yenu,
hasa Vin Diesel.
(source: patrick balisidya-RIP).
Kama uzee unakujia vibaya hivi mbona mie siutaki.....