special dedication kwa sweetlady na nitonye

harusi mliyofanya,
ni kiapo kikubwa mbele ya Mungu,
mkiheshimu mpaka siku ya hukumu.

kwa hiyo,
kaeni kwa amani nawausia,
mpaka kifo kiwatenganishe.

mzaapo watoto,
muwatunze vyema,
ni sifa kubwa.

kumbukeni wazazi,
wa pande zote,
wapatapo shida yoyote ile,
wasaidieni.

jaribuni kuwaepuka,
marafiki wabaya,
watakuja haribu ndoa yenu,
hasa Vin Diesel.
(source: patrick balisidya-RIP).

Kama uzee unakujia vibaya hivi mbona mie siutaki.....
 
nimepitwajeeeee! mama kadogoo nini mbaya?? kwema hapa lakini??

Mie pia nakushangaa umepitwaje lol

Hapa hakuna mbaya cacico ni kwema sana tu hivyo wala usijali!

Siku hizi umeanza kufuata nyayo zangu manake nawe unajitahidi kweli kupotea!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady,hivi hujui bishanga na pou ni baba mmoja mama mmoja tumbo mbali mbali?


Uringe lol.....afu usituletee tabia za kihaya hapa.....hakunaga undugu kwenye kazi.....mwenzio Paw yuko kazini so ukileta za kuleta lazima ban ikuhusu!
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom