Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Hizi redio zimetrend sana nowdays naombeni kufahamishwa kwa wale wazoefu na watumiaji wa redio za JBL Je zina mziki safi Maana unakuta kiredio kidogo bei 400K around
Pia kufahamu life span ipoje, ni imara na je nikichaji inakaa muda gani?
Nawasilisha
View attachment 2100873
Pia kufahamu life span ipoje, ni imara na je nikichaji inakaa muda gani?
Nawasilisha
View attachment 2100873