Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Nov 16, 2010 #1 Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni,vipaza sauti (Mic)zinaendelea kugoma,nakumbuka Bunge limekarabatiwa juzi juzi... Kwa kweli inasikitisha sana...
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni,vipaza sauti (Mic)zinaendelea kugoma,nakumbuka Bunge limekarabatiwa juzi juzi... Kwa kweli inasikitisha sana...
M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,678 Reaction score 1,279 Nov 16, 2010 #2 Tusker Bariiiidi said: Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni,vipaza sauti (Mic)zinaendelea kugoma,nakumbuka Bunge limekarabatiwa juzi juzi... Kwa kweli inasikitisha sana... Click to expand... Mi nahisi hizi tusker baridi zimeshakulewesha,kwani unazungumzia mic au speaker?
Tusker Bariiiidi said: Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni,vipaza sauti (Mic)zinaendelea kugoma,nakumbuka Bunge limekarabatiwa juzi juzi... Kwa kweli inasikitisha sana... Click to expand... Mi nahisi hizi tusker baridi zimeshakulewesha,kwani unazungumzia mic au speaker?