vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,825 Reaction score 1,307 Sep 23, 2014 #1 Ndugu hebu niambieni nina Hii gari inagongagonga chini kwa mbele naweza pata wapi spares na good and affordable fundis.
Ndugu hebu niambieni nina Hii gari inagongagonga chini kwa mbele naweza pata wapi spares na good and affordable fundis.
H humbleguy JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 226 Reaction score 100 Sep 23, 2014 #2 vivian said: Ndugu hebu niambieni nina Hii gari inagongagonga chini kwa mbele naweza pata wapi spares na good and affordable fundis. Click to expand... vivian njoo dukani kwangu....nitakusaidia kupata spares na kukuunganisha na mafundi wazuri usije kubabaishwa,najua mafundi wengi sana wanazingua madada kama nyinyi https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/701708-european-cars-spare-parts.html
vivian said: Ndugu hebu niambieni nina Hii gari inagongagonga chini kwa mbele naweza pata wapi spares na good and affordable fundis. Click to expand... vivian njoo dukani kwangu....nitakusaidia kupata spares na kukuunganisha na mafundi wazuri usije kubabaishwa,najua mafundi wengi sana wanazingua madada kama nyinyi https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/701708-european-cars-spare-parts.html