Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,643
- 61,135
Aje atupatia mwanga
Mkuu hivyo vidole vitaleta makovu kwenye vinnembe, jitahididiWakuu, habari.
Natafuta hichi kifaa, wanakiita 'transceiver' kipo karibu na sehemu ya ufunguo.
Mwenye nacho tuwasiliane pm
View attachment 3399511
Vidole vya injinia hivyo mkuu 😀 , akiwa saiti.Mkuu hivyo vidole vitaleta makovu kwenye vinnembe, jitahididi
Nakitafuta sana hicho kifaa, wananzengo wanasema inabidi kukiagiza nje, kukipata huku ni changamoto.Mkuu hivyo vidole vitaleta makovu kwenye vinnembe, jitahididi
Unavyopenda kumma kiasi kile, unaumiza sana vinnembe kwa kuvichubua😁Vidole vya injinia hivyo mkuu 😀 , akiwa saiti.
Nairobi vipo teleNakitafuta sana hicho kifaa, wananzengo wanasema inabidi kukiagiza nje, kukipata huku ni changamoto.
Nairobi vipo tele
Kama uko serious nipe 30mins bobNaweza kupata koneksheni?, kuna mzabuni mmoja amesema atajaribu Dubai lakini inaweza kuchukua siku 18-20; nimecheki ebay nimeviona ila vinapatikana US na Mexico, changamoto ni muda kukipata, pia natakiwa kutanguliza hela kwanza kabla ya kukipokea.
Sawa, chassis 1FMDU74W82ZB56620Kama uko serious nipe 30mins bob
sawa mkuu, jaribu kunichekia hiyo; nimetafuta Dar, Arusha,Mwanza, kote bilabila na sasa ndio nataka nifanye maamuzi ya kuagiza nje.Download Auto Market App search Spare utapata
Auto Market – B2B, B2C Market - Apps on Google Play
A one-stop B2B & B2C app for buying and selling auto parts and vehicles.play.google.com
View attachment 3399664
Hii kwenye picha haingiliani, hii ni 1L2T-15607-ABDownload Auto Market App search Spare utapata
Auto Market – B2B, B2C Market - Apps on Google Play
A one-stop B2B & B2C app for buying and selling auto parts and vehicles.play.google.com
View attachment 3399664
Zama pmSawa, chassis 1FMDU74W82ZB56620
kwako hauna option ya pm, nichekiZama pm
Vidole Vya NyosoMkuu hivyo vidole vitaleta makovu kwenye vinnembe, jitahididi