Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,499
- 145,891
sparkling water ni aina gani ya kinywaji
kumbe unajijua kwa lugha?
Atakoma 'leyo'.
sparkling water ni aina gani ya kinywaji
Hupendi nikuite Bey?
Ni maji yaliyowekewa gesi ya carbon dioxide ya kutosha ili kuyafanya yatoe viputo vidogo vidogo kama vilivyopo kwenye soda kama za koka kola na pepsi.
Hata beyonce anafupishwa kwa kuitwa bey...so is she your beyonce?
hahahha jmn hapa si unajua majina fekeroo...Bey nimkutie wapiii mie..i just love her ndo mana hilo jina na avatar
You can be a beyonce to someone..the question is who is that someone
You can be a beyonce to someone..the question is who is that someone
That someone is Jay.....
Hahaaaa Haaa..only jay?
Maji ya kawaida yako carbonated kama hizo sparkling drinks?
Na kwa vile asilimia 99 ya mambo yahusuyo lugha huwa sibahatishi, ngoja basi nikuwekee maana ya 'sparkling' katika muktadha wa vinywaji kutoka vyanzo vitatu vya mamlaka zenye heshima.
Tuanze na Cambridge Dictionaries Online
A sparkling drink is one that contains many small bubbles of gas:
Champagne is a sparkling wine.
Tuje kwenye Oxford Learner's Dictionaries
2 (of drinks) containing bubbles of gas
Synonym fizzy
a sparkling wine
sparkling mineral water
Tumalizie na Merriam-Webster Learner's Dictionary
4 always used before a noun : containing bubbles
- sparkling wine
- sparkling grape juice
Haya, nimemaliza. Pia, waweza wewe mwenyewe kubofya hivyo viunganishi vya hivyo vyanzo ukaenda moja kwa moja kwenye tovuti za hizo kamusi.
Kuna neno ambalo lipo kwenye hizo fasili tatu. Nalo ni bubbles.
Bado unataka ligi?
Bey, sparkling drinks ni vile vinywaji vyenye vi bubbles....kama coca cola, pepsi, zipo juisi za hivyo, zipo champagne za hivyo, na kadhalika.
Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated ili kuwezesha kuwa na hivyo vi bubbles.
nilisema hata h20 ina bubbles...je ni sparkling nayo?? hizo def zako nyingine wala sina nazo
angalia hio bold, ndio nikauliza hata maji ya kawaida h2o huwa yana bubbles je nayo ni sparkling???