Spanish tiles Bei nafuu

Spanish tiles Bei nafuu

Angalia private message Project man. Karibuni wote. Our best ad is customer satisfaction.
 
Asanteni kwa majibu mazuri mpaka sala. Tunaamua kuiweka namba ya mawasiliano ya sauti 0763821010. Piga, tunakusubiri.
 
Sampuli mbili
 

Attachments

  • 20150529_131509.jpg
    20150529_131509.jpg
    60.4 KB · Views: 182
  • 20150529_131546.jpg
    20150529_131546.jpg
    58 KB · Views: 193
Kwa sasa tipo Dar tu. Tunatafuta bado partners za biashara katika uwekezaji tuweze kukua ya kutosha na kufika mikoani
 
MMoja wa wateja wetu ameturuhusu tuuonyeshe uzuri wa veranda yake baada ya kuweka tiles zetu za Spain. Karibuni mfurahie ofa nzuri.
 

Attachments

  • 20160304_105901.jpg
    20160304_105901.jpg
    117.7 KB · Views: 189
  • 20160304_105849.jpg
    20160304_105849.jpg
    105.7 KB · Views: 166
Huwa zinakaa ngapi kwenye box moja?
 
Tiles 5 (tano) ya size 45 X 45 cm ni sawa na square metre moja. Boxes zipo za aina mbili, eida ya square metre moja kamili ya vigae 5 au ya 1.62 square metres ya vigae 7. Ila bei yetu ni kwa square metre si kw box. Maelezo zaidi 0763821010 Au uendelee kuulizia hapa mkuu.
 
Mkuu nipatie bei pamoja na picha za tiles zako.

Pia nipe specs zake: i.e thickness, material, life span etc
 
Ndugu Barraza tayari. Ndugu M18 kwa wassap za picha za sampuli nitumie namba yako kwa private message. Ila kwa maelezo ya sauti piga 0763821010. Asanteni
 
Wakuu hizi ni sample mbili zaidi. Karibuni. 0763821010.
 

Attachments

  • 20150529_124742.jpg
    20150529_124742.jpg
    226.2 KB · Views: 154
  • 20150529_131432.jpg
    20150529_131432.jpg
    39.8 KB · Views: 172
Inapatikana. Pengine Wakati umepiga tulikuwa tunaichaji samahani.
 
Habari za mchana ndugu zangu. Tiles bado zipo 45×45. Spanish original. Ubora wa Hali ya juu. Unene mm8 stain resistant water resistant. Zinafaa sana kwa nyumba ya mtu Binafsi. Ukihitaji maelezo zaidi ya picha na kadhalika nipm namba yako nitawasiliana naye kwa wassap.
 
  • Thanks
Reactions: M18
Back
Top Bottom