“spana” muhimu katika uhandisi tovuti

Thanks for correction mkuu,thats what i really wanted to mean..Lakini Netbeans ni funga kazi ina environment nzuri sana za ku-editia code C++,java,php etc
tuko pamoja. Mi naitumia mara chache nikiwa na project kubwa kwa sababu ni nzito na ina mambo mengi ambayo kwa ukweli siyahitaji!
 
Hossana
Web and Network can be viewed as enginrerring .Kwani ukisema Sofware engiineeri ering wht specifiicaally does it mean ?

Waht I know na kwa definition ion ya hapo juu Engieering Kifupi ni set of rules methodologies, techniques, standards and approach zinazotumika kutatua tatizo. na kupata quality product within some constraints ( Time, Money)

Sasa ukisema mambo ya Networking au Web hayawezi kuwa enginering nakuwa sijakkupata. Laini inawezeana sababu watanzania wengi hatufuati na hatupendi mambo ya docuentation na kufuta process . lakini wa mtu anyefuata formalities na principle basi hata project ya web na Network ni engineering
Mtazamaji,
engineering ni field (civil eng, telecomm eng, electrical eng et al.) sasa huwezi kusema electromagnetism au iron mongeries ni engineering in that sense. Ni part ya Electrical na Civil. Kwa hiyo networking ni part ya Telecomm eng kama haihusishi software kama simu zilivyo au part ya software engineering kama ni software oriented. Web dev ni part ya software eng.
May be hatujaelewana semantics
 
Wote bado hamjanijibu. HOW DO I START ON MY WAY TO S.E?
start with known college/uni that provides course or something similar for certification and study it yourself for deep knowledge.
Learn to do it, involve in a project or begin one.
You can go for some courses like Ccna/ccnp, oracle CP MS certificaates Linux courses et al as you wish!
 
Mtazamaji,
engineering ni field (civil eng, telecomm eng, electrical eng et al.) sasa huwezi kusema electromagnetism au iron mongeries ni engineering in that sense. Ni part ya Electrical na Civil. Kwa hiyo networking ni part ya Telecomm eng kama haihusishi software kama simu zilivyo au part ya software engineering kama ni software oriented. Web dev ni part ya software eng.
May be hatujaelewana semantics

Hukuna limitation ya engineering it depends how you approach a problem to get a solution. ukisema Network ni part ya Telecom Pia utasema telecom ni part ya electronics. Na hakuna enginerring ina stand on itself. Mafuta House au NSSF tower haijakamilika kwa field moja ya engineering. yale majeongo kuna field mbali mbali za engineering zimeyakamilisha. Unaweza kusema kwa ujumla ni construction engineering. lakini unaweza kwenda deep kuzigawanya hzio field za egineering .

SO mimi bado naamin hata web na network zinaweza kuwa ni engineering field depending on how approach the problem .

Wikipiedia wanataja Hizi list ya engineering lakini naamin zipo nyingi it just depend on how one want to specialise. computer engineering nayo ni fieled but if if u wish to digg dipper unaweza kuspecialise kwenye electronic engineering. Lakini hiyo haifanyi computer kutokuwa engineering feild.

So Web engineering na Network engineering nazo ni field but ukitaaka ku dig dipper unaweza kutakiwa kwenda kwenye software enginering. Ukiamua kupseaiclise kwenye sofware unaweza kuba kiuwa database engineer na si general software engineer

From the defition of sofware enginerring unawzea kuona engineering ni process sio field . engnineering ni process ya kuidentify problem, Kudesign solution, na Kuimpliment solution . engineering ni process inayotaka deveoped product iwe iwe quality na iwe safe . Product iwe elivere in time within constraints. Engierring ni pocess inayofata standard fulani. Netwokr na Web and others zina acceptable standards

Engineering sio scinetific fields tu . Kwenye process ya Engineriing pia kuna Project Management . enginerring ina involve mambo ya shedule, time ,date, deadline, Milestone , Poople, Manager. cost constraints. So wenye engineering process kuna management.

So to me engineering is not limited
 
Mtazamaji,
engineering ni field (civil eng, telecomm eng, electrical eng et al.) sasa huwezi kusema electromagnetism au iron mongeries ni engineering in that sense. Ni part ya Electrical na Civil. Kwa hiyo networking ni part ya Telecomm eng kama haihusishi software kama simu zilivyo au part ya software engineering kama ni software oriented. Web dev ni part ya software eng.
May be hatujaelewana semantics

All engineering fields interlink and software engineering is part of it. Imagine how automation industry would perform without this important link? Our biggest challenge is move ourselves beyond the limiting factors that engineers in Tanzania have put, of seeing each other as civil,mechanical or sound engineers, to something robust ,inclusive and sustainable.
 
By the way, wale wanaojiita political schemes engineers, uhandisi huo wamesomea wapi? Jamaa wamedesign motion which could make the country a failed state!uchumi wetu unasuasua sababu ya wahandisi hawa,unless wabadilishe hili jina wanalojiita,lol
 
@Hosanna

Let me as k you. You as sofware engineer Iliboru school approach you so that u can develop them "a school Management system"

starting your task in requiement specification u realise what actualy they(customer) want is not a general school managemnt Software but a course Manageent systment for teacher and student to interact online about subject, assignment and Notes.. U got their real requiremnt after a number of interviewing, questionaire and other data gathering techniques

After identifying the problem and real requirement u Know that developing a software from scratch will be costly and timely but u can customize CMS like Moodle to suit their need. and to be within the budget constraints.

So in requiment sepecificatin and designing You use a set of tools to identify and to show how Ilibru conduct their classes, subject, assignment and how teacher do thier task. U get ERD, DFD, system diagram , etc on how Iliboru do their "business"

After that now u're in position to know what actually do u need to customize in Moodle CMS to suit Iliboru needs. U do the customization without doin much coding. Then You and your team Test the customized moodle CMS . You do the white and black box testing to verify that the moodle will work well at iliboru.

In time as agreed when you (developer) and client signed you deliver the customized Web based product to Iliboru in time and its and well within approximated budget.

On site Testing at iliboru for two weeks shows that they are happy and the customised Moodle CMS works weel. No complain.

  • Is this process not an enginering Process?

  • Is sofware enginering process limited only to the word "Sofware" or programming language?
  • What is difference btn software development proces and sofware engineering process?
 
All engineering fields interlink and software engineering is part of it. Imagine how automation industry would perform without this important link? Our biggest challenge is move ourselves beyond the limiting factors that engineers in Tanzania have put, of seeing each other as civil,mechanical or sound engineers, to something robust ,inclusive and sustainable.

Ni kweli na ila na mm naona sio sahihi umit neno engineering kwa vitu fulani tu.

Angalia weneztu wanavyogalia engineeering katika diffrenet perspectives na angles . Sasa tujiulize mambo ya Richsmond na dowans ylifuata Decision Making approach gani. Au kinachonagaliwa ni tenda document tu. Hapa tunaon kuna hata decison Enginering.

Wikipedia said:
Decision Engineering is a framework that unifies a number of best practices for organizational decision making. It is based on the recognition that, in many organizations, decision making could be improved if a more structured approach were used. Decision engineering seeks to overcome a decision making "complexity ceiling", which is characterized by a mismatch between the sophistication of organizational decision making practices and the complexity of situations in which those decisions must be made. As such, it seeks to solve some of the issues identified around complexity theory and organizations. In this sense, Decision Engineering represents a practical application of the field of complex systems, which helps organizations to navigate the complex systems in which they find themselves.

Despite the availability of advanced process, technical, and organizational decision making tools, decision engineering proponents believe that many organizations continue to make poor decisions. In response, decision engineering seeks to unify a number of decision making best practices, creating a shared discipline and language for decision making that crosses multiple industries, both public and private organizations, and that is used worldwide.[SUP][1][/SUP]..............................................

789px-DEFramework.png

Hii inaweza kuwa somo. course nzuri kwa wanasiasa wetu wanaongia mikataba mobovu mibovu. lkini so far kuna vitu amavyo commn kwenye engineering iwe ni web, iwe network iwe n Sowaftware iawe ni plumbing, Iwe ni construction . Navyo ni Requiment, specification, Design,, etc.

Nyenzo , techniques, methodologies zinazotumika zinaweza kutofautiana lakini bado hata fani nyingine zinaweza kuwa na "engineering"depending na process inayotumika kufikia kutatua tatizo fulani.
 
Ni kweli na ila na mm naona sio sahihi umit neno engineering kwa vitu fulani tu.

Angalia weneztu wanavyogalia engineeering katika diffrenet perspectives na angles . Sasa tujiulize mambo ya Richsmond na dowans ylifuata Decision Making approach gani. Au kinachonagaliwa ni tenda document tu. Hapa tunaon kuna hata decison Enginering.

789px-DEFramework.png

Hii inaweza kuwa somo. course nzuri kwa wanasiasa wetu wanaongia mikataba mobovu mibovu. lkini so far kuna vitu amavyo commn kwenye engineering iwe ni web, iwe network iwe n Sowaftware iawe ni plumbing, Iwe ni construction . Navyo ni Requiment, specification, Design,, etc.

Nyenzo , techniques, methodologies zinazotumika zinaweza kutofautiana lakini bado hata fani nyingine zinaweza kuwa na "engineering"depending na process inayotumika kufikia kutatua tatizo fulani.

Wanasiasa wetu wanaopata mpaka phd bila kuzitolea jasho, won't be interested kusomea haya masomo ya kulisaidia Taifa. Haya tusome mimi na wewe with a hope our turn will come soon than later. Ila tusije kugeuka sound engineers pia
 
hahahha Tangawizi
Japo mimi ni technician tu. Nayasoma soma sana haya na najaribu kufuata process na hatua zinazokublika hata kama ni kaproject ka uchochoroni. I belive unaweza usiwe academic qualifed enginerr lakini ukaafuta acceptable engineering process . Na wapo Qualified engineeer ambao wao wanakazania Implimenation zaidi kama wanasiasa na sio process au hatua nyingine nyingine.
 
Uzuri there is a place for everybody in the field. Kama utaweza sogeza mbele zaidi elimu ili uwe na uwezo mpana wa kutatua na kuelewa engineering problems and solutions. Kusoma mpaka kuwa mhandisi ni one thing. Kufanya kazi za kihandis na ukazipenda ni kitu kingine kabisa. Wengi tumo kwa sababu tumo. Hatujui hata thamani ya kitu tulichonacho mkononi!
 
so you have to accept also plumbing engineering, walls engineering, motor engineering, home wiring engineering....et al. Things have to be grouped into close related subfields. Otherwise we will have a mess!
My argument is, engineering is a process and field. Is a process that deals with design, implementation and maintanance of a system solving a problem. And is the field as opposed to non engineering tasks/discipline like general science.
But in anything there is organization of things. So web devel, db admin et al are grouped under software eng. Just like plumbing and walls and foundation are part of civil eng
 
Hossana Its not a mess .
When engineering began may be it stared as just engineering. As year went by and human knowledge of dealing with problem expanded more and more engineering specializations emerged and disticnted themselves form general engineering . So just note that there is no limitation. If there was Limitation of engineering we could not have software engineering. So nakubalina na ku grooup lakini tuelewe hii fani ya IT inakua so zitakuja engineering filed nyingi within IT but ist not a mess.

What about mtu akisema Civil engineering is just a mess it should be grouped as construction Engineering field ?

Some companies have database engineers and netwok engineers. They are engineers but have specialied in specific category. Its not a mess. Some know just SQL, data normalisatin and don't know anything abut C++ or Java. Some Know only about celluar design and implimentation but not about ERD and DFD.

Ok

But in anything there is organization of things. So web devel, db admin et al are grouped under software eng. Just like plumbing and walls and foundation are part of civil eng
Hosssna grouping them as software engineering does not prevent one disintegrating them. Ndio maana Kuna Telecommunication engineering amabayo nayo ni part ya Electronic engineering. Hiyo haifanyi tellecommunication not to be an enginerring process. Kuna Civil Engineering ambayo nayo ni part ya Construction engineering. Pamoja na kuwa plumbing ni part ya civil wenzetu wanapenda kutafiti zaidi hawajaona ni mess kuita Plumbing kama nayo ni ni enginerring on its own . Angalia hapa . So Kuna tofauti kati ya Plmbing enginerring na civil engineering.One is ore specialised.

Sisi africa tuko nyuma lakini wenzetu hizi fani wanazitenganisha kila siku ili kwenda deep zaidi. so

  • U can follow a System dvelpment process in developing a website - Web engineering
  • U can use OSI Model in developing desinging and implimenting a network solution - Network engineering
  • u can specialise in Database systems and Modellling - Database Engineeering
I guess I'm a Poem Engineer. You guys at home have Domestic Affairs Engineer?
lol
 
Hossana Its not a mess .
When engineering began may be it stared as just engineering. As year went by and human knowledge of dealing with problem expanded more and more engineering specializations emerged and disticnted themselves form general engineering . So just note that there is no limitation. If there was Limitation of engineering we could not have software engineering. So nakubalina na ku grooup lakini tuelewe hii fani ya IT inakua so zitakuja engineering filed nyingi within IT but ist not a mess.

What about mtu akisema Civil engineering is just a mess it should be grouped as construction Engineering field ?

Some companies have database engineers and netwok engineers. They are engineers but have specialied in specific category. Its not a mess. Some know just SQL, data normalisatin and don't know anything abut C++ or Java. Some Know only about celluar design and implimentation but not about ERD and DFD.

Ok

Hosssna grouping them as software engineering does not prevent one disintegrating them. Ndio maana Kuna Telecommunication engineering amabayo nayo ni part ya Electronic engineering. Hiyo haifanyi tellecommunication not to be an enginerring process. Kuna Civil Engineering ambayo nayo ni part ya Construction engineering. Pamoja na kuwa plumbing ni part ya civil wenzetu wanapenda kutafiti zaidi hawajaona ni mess kuita Plumbing kama nayo ni ni enginerring on its own . Angalia hapa . So Kuna tofauti kati ya Plmbing enginerring na civil engineering.One is ore specialised.

Sisi africa tuko nyuma lakini wenzetu hizi fani wanazitenganisha kila siku ili kwenda deep zaidi. so

  • U can follow a System dvelpment process in developing a website - Web engineering
  • U can use OSI Model in developing desinging and implimenting a network solution - Network engineering
  • u can specialise in Database systems and Modellling - Database Engineeering

lol
I think I understand your argument. Yes, any subfield can grow so big that it needs to be specialized. I agree with that. Telecom came from electronics which came from physics which came from general science which came from ....
But as we are speaking, web dev, networking, database management design et al are still under SE. Will they ever branch and be fields by themselves? I don't know. Have they branched yet? No!
Just forget about fancy position names in companies. Sometimes are jokes :)
 
Back
Top Bottom