Southern Africa is losing US$30 billion annually as a result of financial outflows

Kwenye issue za money laundering watanzania tuko more obsessed kuliko hata waanzisha hiyo money laundering concept .Ukisikia ngoma imepata mpigaji Ni Tanzania
Ndiko wanatengeneza pesa zao huko lazima wapende, hasa wakikuta system in mianya kama hii yetu.
 
Kazi ya benki Sio kuhoji mtu pesa katoa wapi.Hiki kichaa Cha money laundering kinaharibu Sana banking system sababu peesa mtu katoa wapi non of your business as a banker .Kama kaiba huko alikoiba watamfuatilia na watazikuta pesa ziko safe banki tatizo Nini.Tena Kama kauza madawa ya kulevya halafu akaziweka benki Safi Sana hiyo Tena serikali inatakiwa ishukuru kuwa mwizi ,muuza dawa za kulevya ka deposit hela.Kaziweka sehemu safe.Mwache aweke.Hii ya kuhoji hoji Ina wa scare wanaacha kuleta halafu utakuta counter tupu hazina depositors benki zinaanza Kufunga matawi kwa kukosa business wafanyakazi wanaanza kupunguzwa na mabenki kufa.Haya mambo ya money laundering tukiyakomalia Sana Hadi KU scare depositors yataua mabenki.Mfano masokoni Kuna madalali wa mazao anapewa mizigo auze hawana leseni Lakini aweza uza mauzo ya milioni 200 hawezi lala nazo anapeleka benki akisubiri wenyewe waje awape pesa zao achukue Cha juu Cha udalali.Mtu Kama huyo na visheria Koko vya money laundering waweza mwonea bure kuwa Hana leseni halafu ana deposit mamilioni 100 atakuwa muuza madawa huyu!!! Benki hazitakiwi kugeuka kuwa vituo vya polisi vya kuhoji kila mleta hela Kama mhalifu aliyejileta mwenyewe polisi kituoni
Unafikiri bank zisipohoji nani atahoji, unaona siku hizi money laundering kila kesi, no kwasababu system haifanyi kazi wana bahatisha tu. Pesa chafu ina ua uchumi wa nchi yoyote ndio maana kuna sheria na vyombo imara vya uchunguzi. Ukiacha wezi wajitanue utashangaa serikali itawapigia Magoti in a very short time. Yani mtu auze unga a deposit kirahisi kama mwenye duka la mikate, unacheza wewe.
 
Money laundering is laundering when such money comes from Europe or America to Africa.

But it is not money laundering when it goes to Swiss, Bahamas or Cayman islands offshore banks etc. From Africa

Africa should also allow illicit money to come to Africa from Europe ,America etc

PRIMITIVE ACCUMULATION of WEALTH ni muhimu sana, hasa kwa sisi tunaondelea.
 
Back
Top Bottom