Kutakatisha pesa Tanzania na Africa kwa U jumla ni rahisi sana. Mtu kuingiza pesa kwenye hi M-pesa na the like ni rahiisi sana. Tuliowengi tunafanya miamalka kutumia cash, siyo card za VISA au MASTER CARD. Hii inafanya laundering iwe rahisi.
Kuna watu wana uziana vitu vikubwa cash, hakuna anayetaka kujua source za pesa hizo, watu wanajali pesa. Wafanya biashara wengi wanakopeshwa the ya mfumo wa mikopo, mtu binafsi anampa kiasi atakacho,anachojali kwa wakati huo ni pesa na masharti nafuu, kumbe mwenzake anatakatisha pesa hivyo. Kuna vijikampuni co ukopeshaji havigiati sheria, watakatishaji huvitumia hivi sana tu.
Kuzuia hili wangetumia bank cards na waweke masharti ya ku deposit cash, ma waondoe urasimu ili watu waviamini vyombo vya dola, lakini kwa sasa TAKUKURU ndio wala rushwa wakubwa na kubambikiana kesi, watu wanaamua kwenda kimya kimya tu.