Kama architect ndo M7 nyinyi kwisha, M7 alikua anaharakisha EAC ikue federation kabla ye azeeke ili yeye ndo awe Rais wa kwanza EAC, lakini akaona hio haitawezekena Kama kenya bado bingwa, sasa kaamua mpango mpya wa kujieka bingwa kwa kua architect wa mabomba na nchi ambazo zitakua zinabenyua nyuma kwasababu yeye ndo anacontrol flow ya mafuta... Atakia akisema kwe, nyote mnaruka ruka 'yes sir, no sir!'
Kama architect ndo M7 nyinyi kwisha, M7 alikua anaharakisha EAC ikue federation kabla ye azeeke ili yeye ndo awe Rais wa kwanza EAC, lakini akaona hio haitawezekena Kama kenya bado bingwa, sasa kaamua mpango mpya wa kujieka bingwa kwa kua architect wa mabomba na nchi ambazo zitakua zinabenyua nyumba kwasababu yeye ndo anacontrol flow ya mafuta... Atakia akisema kwe, nyote mnaruka ruka 'yes sir, no sir!'
Using a new phone, to correct typos is a nightmare, I meant to say kubenua nyuma, yaani mtakua mnapanua msamba na kuinama kulingana na vile Museveni anajiskia ili pipe ipite sambamba, tayari mlishawapatia shamba la pale pipeline itapitia bure... Sasa mlishaachilia breki, pipeline ikijengwa atakua akitishia kufunga mfereji wa mafuta na kuwapa sifa mbaya za kbiashara nyote mtakua mnapapasa asikasirike...... Kenya hangeweza fanya hivyo maama si tushazoea kutojali sifa mbaya, akitukana na si tunamtukana sambambaKafrican kubenyuwa nyumba ndo nn? Nakusisitiza uendelee kutumia Kikuyu! Sisi hatuna tatizo kwa yeye kuwa Rais wa federation! Kuliko Kenya kutoa mtu, bora Museveni au Kagame...
We kinakuuma nn? as a matter of fact watu wanalipwa reasonable compensation! Ngoja tuone hilo bomba la Lamu-Addis Ababa kama ethiopia watakubali kulipa distorted charges! Na ushike adabu anayepanua nyuma ni mzazi wako si sisi Watanzania!Using a new phone, to correct typos is a nightmare, I meant to say kubenua nyuma, yaani mtakua mnapanua msamba na kuinama kulingana na vile Museveni anajiskia ili pipe ipite sambamba, mulisha mlishpatia shamba la pale pipeline itapitia tayari bure... Sasa mlishaachilia breki, pipeline ikijengwa atakua akitishia kufunga mfereji wa mafuta na kuwapa sifa mbaya za kbiashara nyote mtakua mnapapasa asikasirike...... Kenya hangeweza fanya hivyo maama si tushazoea kutojali sifa mbaya,
Hainiumii popote. Am just saying...since you guys decided to bring this topic.... Huku kenya Kama kawa lazma watu wa kawaida wapandishe bei ya shamba wakiskia project kubwa itapitia shamba Lao... Hio imekua kitu ngumu kuzuia...We kinakuuma nn? as a matter of fact watu wanalipwa reasonable compensation! Ngoja tuone hilo bomba la Lamu-Addis Ababa kama ethiopia watakubali kulipa distorted charges! Na ushike adabu anayepanua nyuma ni mzazi wako si sisi Watanzania!
Keep dreaming Uganda will construct a refinery and South Korea and Japan can do that themselves without Russia! U should be worried of ur refinery with 600 mln barrels of non recovable oils! As a matter of fact Israel may join South Korea and Japan and just to assure u South Sudan will not go to Lamu, Kenya has to return Ilemi triangle to south sudan first!Hainiumii popote. Am just saying...since you guys decided to bring this topic.... Huku kenya Kama kawa lazma watu wa kawaida wapandishe bei ya shamba wakiskia project kubwa itapitia shamba Lao... Hio imekua kitu ngumu kuzuia...
Anyway from hio article umeweka hapo, and also from the tweets, its also looking like UG may not be able to construct a refinery to refine oil for the region after all (once again UG is showing its inability to even carry out agreed projects) the pipeline to Zambia will be heading to a refinery, so that means M7 has forseen that he wont be able to build a refinery...then add that to the tweet that M7 posted urging S.Sudan to revive there refineries.... So that leaves Kenya at the forefront to build a refinery to export refined oil for kenya and the region..... Mind you Ethiopia needs alot of refined oil, and if s.sudan joins kenya inthe pipeline then we could refine lots of it plus that from kenya...mhhh
We had a refinery from the 70s upto 2000s and we dint have any discovered oil.Keep dreaming Uganda will construct a refinery and South Korea and Japan can do that themselves without Russia! U should be worried of ur refinery with 600 mln barrels of non recovable oils! As a matter of fact Israel may join South Korea and Japan and just to assure u South Sudan will not go to Lamu, Kenya has to return Ilemi triangle to south sudan first!
Geza Ulole , pata ushauri na ushauriwe, ndo wewe nawe uwe na uwezo wa kushauri.
Kwa haya yote yanayojri, umejiuliza haya:
1. Hivi ukiona gharama ya kujenga bomba toka Hoima , uganda mpaka ndola ,zambia is it economically feasible? Zambia linchi lidogo na uchumi wake hauwezi tikisika kanda hili. Wanatumia barrels ngapi kwa siku ndo wapewe kipau mbele ya bomba kujengwa. Angeunganisha mpaka na SADC yote,labda ungekuwa na msingi,but miundo mbinu ni duni sana along the proposed route, itakuwa gharama kuuubwa mno kujenga upya.Unafahamu gharama ya oil infrastructure wewe ama unadhani bomba la maji?? Nani atagharamia??Na je, mafuta itatumika kama silaha ya kisiasa??In short not economical or wise.Anakurupuka tu ndo amfurahishe mgeni wake, quote me on this later.
2. Haya yote bila shaka naona unaangazia itaumiza mahasidi wako wa jadi(tusipoteze wino kuwataja kwa jina). Si wao wamegundua mafuta lao??Na wana refinery tayari, na usitaje lile mpya litakayo jengwa kusafisha crude yao.
3. Nitajie njia mbili tu,jinsi hii habari italionngeza royco kwa makande aka githeri yako ya leo??
Hata geography ipo basi! the kind of people we argue with in here are very shallow to understand our language!Relax brother,hakuna bomba litakalojengwa toka Hoima kwenda zambia,kinachotarajiwa kufanyika ni kuliunganisha bomba la mafuta la TAZAMA,na hili la Hoima-Tanga,kipande kidogo sana kitajengwa toka Tanga kwenda Dar es salaam.
Then kama hujui ni kwamba kuna bomba lingine linajengwa sambamba na hili la TAZAMA kuja dsm litakalobeba refined oil.kwa hiyo sisi tutakuwa tunakinga tu mafuta huku tunachukua chetu.
Hahah Xplorer at ur best yaani kama upo kichwani mwangu... Haambiwi mtu tazama na kuona!
Pictures with 1000 words! Kuna jamaa wanachekelea pipeline to nowhere (Ethiopia). Wanajipa moyo.
CC: nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11