hawa jamaa wana pesa kwa sababu wana mafuta ila shida ni watu magumashi sana (NGUVU 9 AKILI 1) vita na ni wavivu sana wengi wao wamekimbilia ughaibuni kama wakimbizi na baadhi yao wapo Kenya Nairobi na Eldoret wakilishwa/kulipiwa kodi na UNHCR na ndugu zao wanawatumia pesa. biashara huko ujitoe ufahamu maana matukio ya kuuwawa ni mengi mno. Bora tujikite kwa watani zetu kenya na nchi za SADC (Malawi, Zambia, Zimbabwe, Botswana, South Africa n.k)