Rais angeshinikizwa kuwarudisha wale mawaziri aliowafukuza, pia si kweli kama dunia imekaa kuangalia tu, hapana. wamejitahidi ila wale jamaa hawataki maridhiano. aidia ya kutumia majeshi ndo iliharibu kabisa unaona hadi M7 akalazimishwa kuondoa majeshi yake