South Sudan burns as the whole world watches!

South Sudan burns as the whole world watches!

SI ndo ujinga tulonao sasa...ni wapi Afrika imeanzisha vita western country? Kwa nini tunakubali watushikie akili? Wewe mtu atakwambia pigana na jirani yako huku yeye yuko mbali anashadadia unakubali? Kama si ujinga ni nini?

Njaa zinatusumbua sana sisi waafrika na pia wazungu wanatutumia kutengeneza instability kwanza wauze siraha zao na pili wapate law material eg madini na mbao za DRC
 
ss-sudan-09.jpg
 
Back
Top Bottom