South Africa's Western Cape declares drought disaster

Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,481
2,344
1495561773099.jpg

Hellen Zille Head of DA South Africa

South Africa's Western Cape province has declared a drought disaster as it faces its worst water shortage in 113 years.
Provincial leader Helen Zille said water will be harvested by drilling boreholes to serve key points like hospitals in Cape Town.
The alert will last for three months but could be extended if the crisis persists, she said in a statement.
Southern African nations are reeling from a two-year drought.
The UN estimates that over 40 million people have been affected by the drought that was caused by the El Nino climate phenomenon.
"The disaster declaration will accelerate... the province's strategy to ensure that taps do not run dry," Ms Zille said.
She also announced plans to use a mobile desalination plant and tap the natural aquifer under Cape Town's Table Mountain.
Residents have also been urged to use no more than 100 litres (22 gallons) of water a day.
Ms Zille said the disaster declaration will mean that authorities in the province can prioritise public funds for drought relief operations.
Two reservoirs in the Western Cape region are already completely dry according to official statistics.
The Karoo and West Coast areas of the Western Cape previously declared drought disasters in 2016, but Monday's announcement extends the scope of those emergency measures to the entire province, the AFP news agency reports.

Wapi hao danganyikans??
 
nawangoja pia mimi..."ooh kenya nchi ya uchumi wa kati na ina uhaba wa maji na chakula???..ooh mshawai skia SA iko na shida hizo??"
njooni uku muone waume zenu wanachokora ardhi wakichimba visima...heheee
 
These coments in here reveals nowadays Kenyans are too inferior to tzns,
Your inferiority complex in Consolidating day by day.
 
you should explain to us why SA is facing this crisis yet it's far much developed than Kenya...you and your bandwagon of naysayers rubbished the fact that Kenya is a middle income country just because she was suffering from drought... don't tilt the scales to favour your arguments
 
Hehehe wanapita kimya, huwa wanashobokea Afrika Kusini sana na kujikombakomba kwao, wengi hata wamezamia huko na kubeba mabox, sasa sijui kwa hili watasema wameishinda AK.
 
SA wanakumbana na hilo janga once in years. Ila Kenya mnakutana na hilo janga kila siku, kila saa.
 
Hivi wakenya mmeishiwa na hoja za maana? Sasa huu uzi unahusika vipi na Tanzania, kwani Tanzania ndio ingawa ukame?

Western cape sio South African yote ni sehemu ndogo ya magharibi ya South Africa. Hali sio sawa kwa maeneo mengine ya nchi.
 
Mnakumbushiwa tu kwamba majanga ya ukame ni jambo la kawaida hata kwa hao mabwana zenu SA. Kila mkisikia janga la ukame Kenya huwa mnatiririka huku mkishabikia hadi uzi unafikia kurasa ishirini.
 
Hivi wakenya mmeishiwa na hoja za maana? Sasa huu uzi unahusika vipi na Tanzania, kwani Tanzania ndio ingawa ukame?

Western cape sio South African yote ni sehemu ndogo ya magharibi ya South Africa. Hali sio sawa kwa maeneo mengine ya nchi.
The funny thing is that hatujaita mTZ yeyote aje hii side ya forum hua mnajileta leta tu sasa kunyweni ufyoko wenu
 
Hivi wakenya mmeishiwa na hoja za maana? Sasa huu uzi unahusika vipi na Tanzania, kwani Tanzania ndio ingawa ukame?

Western cape sio South African yote ni sehemu ndogo ya magharibi ya South Africa. Hali sio sawa kwa maeneo mengine ya nchi.
Sawa enda Northern province kwa border ya Mocambica na Zimbabwe usome news za kuoe
 
Na hapa kenya pia Ukame huwa Northern Kenya
 
Sawa enda Northern province kwa border ya Mocambica na Zimbabwe usome news za kuoe
Swali ni kwamba, Tanzania inahusika vipi na shida za South Africa? Kwani Tanzania ndio ina namba ya simu ya Mungu imuombe apunguze ukali wa ukame??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom