South African lawyers 'illegally' detained in Tanzania

Hii habari mpaka tupate uthibitsho kutoka credible sources kwani kwa sasa habari zinazotoka upande ule zimekuwa sio za kuamini sana!! Unaweza ambiwa ni mashoga kumbe ni wanaharakati!! Kwa kuwa hii dola yetu inaogopa wanaharakati kama binadamu kaona nyoka siwezi shangaa kabisa.
Toka lini umeanza kutetea hao majamaa?
 
Mtu kaleta habari kukubarisha unamuita mwakilishi wao, magazeti yanayohabarisha nayo yanamwakilisha nani, vijana badilikeni.
Atuhabarishe vitu constructive au vya kuintertain sio hii takataka yenye chukizo kwenye macho ya mungu
 
Tunawanasheria wa kuitetea Serikali kwa Tuhuma hizi hizi wapewazo kina Manji and then wakishinda husea hewara... and then wananunua Nakumathi supermarket maisha yanaenda... Nadhani Serikali ikomae na wanyonge sie hao wa nje wawaache Bomba dear zetu tutazipoteza zote... hao watu wa nje washajua udhaifi wa awamu hii ya tano tutamalizwa...
 
Back
Top Bottom