south africa

south africa

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
151
nahitaji kuzamia south africa for a time kidogo,,,ntaanzia wapi
 
nahitaji kuzamia south africa for a time kidogo,,,ntaanzia wapi

Haina haja ya kuzamia. Fata taratibu za kuomba visa utapewa tu na ukifika huko unawepa pata temporary permit. Mambo ya kuzamia yashapitwa na wakati

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Anzia Somalia tu huko ukipata passport ya al shabab ujue safari ya south ni murua tu
 
Haina haja ya kuzamia. Fata taratibu za kuomba visa utapewa tu na ukifika huko unawepa pata temporary permit. Mambo ya kuzamia yashapitwa na wakati

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

South Africa hakuna haja ya kuwa na Visa ni passport yako tu mkuu.
 
Back
Top Bottom