South Africa yapinga bidhaa za Israel

Ni kweli hatuna uhusiano wa kibalozi na Israel. na nchi zote zisizo na uhusiano na Israel, zina laana. Hii ndiyo maana pamoja na kuwa na rasilimali nyingi, bado laana ile ile inatung'ang'ania. Hatutaepuka laana hii mpaka tuwe na uhusiano na taifa teule la Mungu.

mbona iran haina ubalozi na israel lkn ina maendeleo makubwa mpk ya nyuklia?
Nyerere si ndie aliezuia huo ubalozi, au alikosea kwenye hili?
 
It is typical ANC behavior and character. South Africa's ANC are in bed with the Chinese government, and thus, don't denounce China's malicious and diabolic treatment of the people of Tibet, in contrast, South Africa are all too quick to talk human rights and "apartheid" when it comes to the State of Israel. What about Syria and Iran? Well, not surprisingly South Africa has taken a "neutral" stance and does not want to get involved in the internal affairs of another state. Why the double standard? Why Israel?
 
Africa Kusini inaanzisha mgogoro na taifa teule la Mungu? Ona sasa wameanza kuuwana, huu ni mwanzo wa laana kwao. Mfano halisi ni tanzania, taifa lenye rasilimali nyingi zisizowanufaisha wananchi wake, hii ilitokana na laana kama hiyo.

Uteule wa wa Israel kwa Mungu ni upi wakati wamemkataa Yesu Kristo? Hivi wanavyowatesa Wapalestina ni sawa?. Watu wengi hawajui Waisrael walivyo na maudhi. Mungu hajawateua wawanyanyase wanadamu wengine? Mkombozi wa dunia Yesu Kristo ndiye mteule wa Mungu. Wote waliomkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wao wamefanyika wana wa Mungu. Israeli wamkiri Yesu waache manyanyaso eti ni taifa teule la Mungu. Tafadhali Mungu siyo mkatili!!!!!
 
Ni kweli hatuna uhusiano wa kibalozi na Israel. na nchi zote zisizo na uhusiano na Israel, zina laana. Hii ndiyo maana pamoja na kuwa na rasilimali nyingi, bado laana ile ile inatung'ang'ania. Hatutaepuka laana hii mpaka tuwe na uhusiano na taifa teule la Mungu.

Please please tusipende kutoa kauli nyepesi nyepesi. Matatizo ya Tanzania yanatokana na upuuzu wetu wenyewe kutokuwa makini na mambo yetu. Hebu tujitahidi kuchagua viongozi waadilifu ili wawajibike kwa wananchi, tuweke utaratibu wa kudhibiti utendaji wao na kila mtu afanye kazi kwa bidii tuone kama hatutapiga hatua za kimaendeleo. Hata Tanzania iweke balozi kumi za Israeli kama hatutakuwa watendaji makini tusahau maendeleo.
 
Africa kusini bado wana hasira na israel.hawa waisrael waliwasapoti makaburi waliwapa silaha zikatumika kuwaua waafrika.
Waliwapa hadi technology ya nuclear,wakaweza kuwa na makombora ya nuclear ambayo yangeweza kutumika kutumaliza waafrika wa frontline state.
Ni mpaka mandela alipokamata madaraka ndo akaamuru makombora ya nuclear yaharibiwe
 
Kweli? syria, iran, tanzania wao sio wauaji...kuna nchi za kiuaji kama nchi za uarabuni...

marekani je nao utawajudge vipi?hawa watu wanaua mamilioni ya watu na viongozi wao huwa wanatoa ok na kubeba responsibility ya mauaji daily,halafu kila jumapili unamuona church akimsifu mungu.dah..!!
 
Canadian church defends decision to boycott Israeli products

The United Church of Canada recently passed motions which encourage church members to promote a boycott of Israeli products produced in illegal settlements.

While the United Church has received staunch criticism from pro-Israel journalists in Canada, it has received praise from anti-racists and Human Rights advocates throughout the country.

Link PressTV - Canadian church defends decision to boycott Israeli products
 
Uteule wa wa Israel kwa Mungu ni upi wakati wamemkataa Yesu Kristo? Hivi wanavyowatesa Wapalestina ni sawa?. Watu wengi hawajui Waisrael walivyo na maudhi. Mungu hajawateua wawanyanyase wanadamu wengine? Mkombozi wa dunia Yesu Kristo ndiye mteule wa Mungu. Wote waliomkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wao wamefanyika wana wa Mungu. Israeli wamkiri Yesu waache manyanyaso eti ni taifa teule la Mungu. Tafadhali Mungu siyo mkatili!!!!!

teule ni teule tu! usijaji maamuzi ya Mungu usije ukaumia kwani Akisema amesema Mungu wa Israel na hakuna wakusema hapana.
 
Africa kusini bado wana hasira na israel.hawa waisrael waliwasapoti makaburi waliwapa silaha zikatumika kuwaua waafrika.
Waliwapa hadi technology ya nuclear,wakaweza kuwa na makombora ya nuclear ambayo yangeweza kutumika kutumaliza waafrika wa frontline state.
Ni mpaka mandela alipokamata madaraka ndo akaamuru makombora ya nuclear yaharibiwe

Na hizo nuclear ndizo zilizotumika kuwaua ndugu zao waliokuwa wakidai nyongeza ya mishahara? South Africa wamechanganyikiwa na wala wasiilaumu Israel!
 
Back
Top Bottom