South Africa wanataka kubadili jina la nchi yao kuwa Azania

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
12,265
21,442
Habari iliyopo South Africa ni kwamba wanataka kubadilisha jina la nchi yao, wakidai jina South Africa sio jina bali linaeleza mahali nchi ilipo katika bara la Afrika. Kimsingi wanasema South Africa ni nchi ambayo haina jina.

Wanasema kwamba walipaswa waige mfano wa nchi kama Zimbabwe na Namibia, zilizobadili majina mara baada ya kupata uhuru.

Wazo hili limekuwa likiungwa mkono na vyama mbalimbali vya siasa nchini humo, na maoni ya ANC, chama tawala nchini humo, ni kwamba linapaswa kujadiliwa rasmi katika ngazi za juu za chama.

Kumekuwa na mapendekezo na upendezi kwamba South Africa ibadili jina na kuitwa Azania, jina ambalo huko nyuma lilitumika na vyama kama Pan African Congress (PAC).

Ikiwa South Africa itabadili jina na kuwa Azania, basi itazidi kufanana na Tanzania katika jina, bendera na wimbo wa taifa. Sijui hili limetokeaje.

Source: The Mercury, South Africa

======

Why the PAC wants South Africa renamed Azania

Various organisations and people have suggested that the name of our country should be changed.

Arts and Culture Minister Nathi Mthethwa says the name change suggestions will be discussed during the ANC's policy conference in the coming weeks.

The Pan Africanist Congress (PAC) is one of the organisations moving that the name be changed to Azania.

CapeTalk/702's Stephen Grootes spoke to PAC general-secretary Narius Moloto about why the name Azania should be chosen.

Azania is the original name of the Southern tip of Africa and the research by Professor Eskiah Mphahlele clearly reveals that the real name of South Africa is actually Azania.

— Narius Moloto, PAC general-secretary
The name Azania is derived from the term Azanj which is Arabic.

— Narius Moloto, PAC general-secretary
It has its own historic referral rather than geographical ... This country did not have a real name, rather... a geographical name.

— Narius Moloto, PAC general-secretary

To hear more of why South Africa should be renamed, listen below:

Is it time to rename South Africa to something more meaningful? - The Midday Report - Omny.fm
 
Xhosa ni minority ndio maana sikuwataja na wengine pia...na pia kumbuka huu ni mtazamo tuu
Mjomba mbona unapenda kujikinga kwenye mitazamo tu hio sio mara ya kwanza, kwani mimi nimesema ni sheria?

Kwa hiyo kwa vile ni minority hawana haki wao kuiwakilisha nchi badala ya wazulu?
 
Haya bwana! Na sisi tunabadilisha mji mkuu ili vichwa vyetu viwe na akili za kuzuia kuibiwa makanikia!

Hivi Muungano ukivunjika na Zanzibar wakajitenga, tutarudi jina la Tanganyika au tutaamua kuendelea na Tanzania?
 
Mjomba mbona unapenda kujikinga kwenye mitazamo tu hio sio mara ya kwanza, kwani mimi nimesema ni sheria?

Kwa hiyo kwa vile ni minority hawana haki wao kuiwakilisha nchi badala ya wazulu?
Sijikingi na mitazamo ndio uhalisia! Hii ni forum huru tunachokiandika mara nyingi ni mitazamo
Hapa sio south na wala hatuhusiki nao kwenye hili ila mdau kaleta mjadala kisha kila anayevutiwa anaandika mtazamo wake
 
Sijikingi na mitazamo ndio uhalisia! Hii ni forum huru tunachokiandika mara nyingi ni mitazamo
Hapa sio south na wala hatuhusiki nao kwenye hili ila mdau kaleta mjadala kisha kila anayevutiwa anaandika mtazamo wake
Duuu haya ya forum huru yametoka wapi? Nani asiyejua hii forum ni huru na kila mtu yupo kutoa mawazo yake? Kwa hiyo kwa sababu forum ni huru basi hatupaswi ku challenge mawazo ya mtu bali kukubaliana naye? Sasa huo si udikteta uchwara
 
Back
Top Bottom