Trevor namkubali sana. Nimesoma kitabu chake "Born A Crime", fascinating read...Trevor Noah angekuwa Tz angeitwa msaliti, na mhaini.
Ukweli ni kwamba wazawa hawawez kufanya kazi Kwa ela ndogo, huku wagen wakiwa tayar kuifanya kama mfanyabiashara lazima aajiri wagen ili aongeze faidaNa kwa nini ufanye hivyo? unajua madhara ya kuajiri cheap labour kutoka mataifa mengine kwa nchi yako? mi ninachodhani hapa ni kuwa bado SA wanatumia sharia zile zile za mkoloni ingawa nchi sasa wanatawala wazawa, mimi nipo ughaibuni pia lakini sheria za hapa zinampa umuhimu mkubwa kwanza mzawa wa nchi, SA uchumi wake ni mkubwa na kama watakuwa na utaratibu mzuri kwa wanachi wake sidhani kama Unemployment rate ingekuwa kubwa kama iilvyo hivi sasa.
Trevor namkubali sana. Nimesoma kitabu chake "Born A Crime", fascinating read.
Wamarekani mpaka kumkubali na kumfanya awe mrithi wa Jon Stewart si mchezo.
"Beberu" in kabudi's voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao watu sio wajinga wanajua wsnachofanya, kabla walikua wanawachukia makaburu kupita kiasi lakini baada ya dunia kua kijiji wameshaona mataifa yaliyowafukuza hao wazungu wanaomiliki biashara yalivyo. Hao wote wanaopambana nao mtaani walikotoka kuna mapori ya kutosha kuna rasirimali za kutosha. Kama watu wanakimbia sehemu ambayo beberu alifukuzwa na badala yake anakimbilia aliko beberu basi tatizo sio beberu.
Naunga mkono hoja, its a good analysis
P
Maandiko hupingwa kwa maandiko. Hapa sio issue ya kuamini bali ni kusoma kilichoandikwa kama kina make sense. Aliyetoa data hizo sio muanzisha bali mwandishi wa andiko, leta andiko la Wazimbabwe milioni 4 ndipo upinge andiko hili.Good analysis! Unaamini wahamiaji waliopo SA ni 2M tuu wakati Wazimbabwe peke yao walioko SA ni 4M
GoodMaandiko hupingwa kwa maandiko. Hapa sio issue ya kuamini bali ni kusoma kilichoandikwa kama kina make sense. Aliyetoa data hizo sio muanzisha bali mwandishi wa andiko, leta andiko la Wazimbabwe milioni 4 ndipo upinge andiko hili.
P.
Acha kutufunga kamba.Hii iliandikwa kwa kizungu na mtangazaji na mchekeshaji aliajiriwa na CNNView attachment 1200378